Zawadi ya Harusi msaada

Zawadi ya Harusi msaada

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,383
Wakuu nina Laki moja(100k) sasa nimeshidwa niandae zawadi gani kwa ajiri ya harusi ya Rafiki yangu msaada wenu tafadhali

Kwa pesa hiyo naweza nikawaandalia zawadi gani.

Ahsanteni
 
Wanunulie maandiko ya dini,au wapelekee zawadi ya picha yao iliyochorwa kwa mkono.
 
Kwani bila zawadi hawazai?
Msituchoshe
 
Back
Top Bottom