Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Tafadhali naitisha kikao cha dharura tuje kujadili sisi ma single Father ambao jamii haitutambui uwepo wetu lkn tupo wengi tu tunajikaza kiume!
Wale wanaume tuliochukua watoto ama mtoto na kuishi nae as a single father iwe ulimchukua kwa amani,kumuiba ama kibabe ama kwa kususiwa tukutane hapa tujadili!
N.B,kamwe katika maisha yangu nikiwa hai na sipo gerezani mtoto wangu yeyote hata lelewa na mwanaume yeyote yule patachimbika