Mimi huwa nawafanya hivi

Mimi huwa nawafanya hivi

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,063
Ok,wakuu,..weekend yangu imeanza leo,.
to the point

Mim bwana nmepitia meng kwenye mahusiano,nshapenda saana had kua chiz,..namii nkipenda nmependa kwel naweza penda mwanamke ile kupitiliza ,yan ile ya had machoz sometime ktk situations mbalimbali

Tatzo langu ni 1: I CHEAT OFTENLY
Yaan dhambi hii kiukweliii...........

Na niko vzur kwenye kumfanya mtu asijue kama anachitiwa,kabsaaa.
Na mahusiano yangu meng ni yale ya loong term,yaan 3yrs < etc..ila huyo mwanamke hapo within hua nakua nacheat yan,vzur tuu

Am very innocent machon,na hua nahakikisha hata nikiachana na mwanamke,yaan ALL THE GUILT na blame ziwe juu yake....yaan ajifeel dahh.au namwonea mshikaji

Ma X wangu weng had leo tumeachana ila had leo sjawai ku admit kua nmewai CHEAT..kama,ugomv ulikua cheating

So weng had leo niko nao peacefull sabab wanajua wao ndo chanzo cha kuachana so weng huwa napasha viporo kiroho swafi na tunawasiliana fuleshi tuu..

N.B sinaga tabia ya kurudia mpenz ile mazima,ila kupasha huwa napasha,na hiko ndicho kinawaumiza zaidi...

Enewei,.....UZI tayar (najua malipo ni hapahapa dunian,..najua hilo)
 
We pasha ila kama huyu demu wangu alishawahi kuwa X wako naomba ukae nae mbali mkuu kiroho safi2
 
Lengo kuu la huu uzi ni nini?
Lengo kuu ni kwamba,dont HURT mwanamke,yaan kama unampenda mpende kweeel,..na kama una cheat cheat ila asijue,yaan usimuumize,..siunajua kuna watu wanakomoa,yan akiachana na dem anaanza sasa kumtolea makucha yake kwamba nilifanya hiki kile wakat tuko pa1
 
Kwahyo ..mwanamke asiumizwe kwa njia yoyote ile,kama unampenda mpende kwel,kama unacheat cheat ila,asijue,yaan cha muhim usimuumize mwanamke,..na never admit kosa la kumcheat hata sku1..make her feel u deserve it all
 
Lengo kuu ni kwamba,dont HURT mwanamke,yaan kama unampenda mpende kweeel,..na kama una cheat cheat ila asijue,yaan usimuumize,..siunajua kuna watu wanakomoa,yan akiachana na dem anaanza sasa kumtolea makucha yake kwamba nilifanya hiki kile wakat tuko pa1
Sasa haya maneno yapandishe kwenye uzi hapo maana umeaandka kama mtu unaye enjoy kufanya hivyo au kutushawish tuwe tunafany hvyo
 
Uzi unatufundisha nini mkuu?
Lengo kuu ni kwamba,dont HURT mwanamke,yaan kama unampenda mpende kweeel,..na kama una cheat cheat ila asijue,yaan usimuumize,..siunajua kuna watu wanakomoa,yan akiachana na dem anaanza sasa kumtolea makucha yake kwamba nilifanya hiki kile wakat tuko pa1
 
We pasha ila kama huyu demu wangu alishawahi kuwa X wako naomba ukae nae mbali mkuu kiroho safi2
Na hakuna ambae anakataaga kupasha na mim,kiongoz,dunian ni kusaidiana tuu,
 
Back
Top Bottom