Kuvunjika kwa ndoa

Kuvunjika kwa ndoa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,922
Reaction score
61,683
Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na uzao kutokuwa na mvuto.Mtu alitegemea azae mtoto mwenye muonekano fulani,lakini kutoka na sababu zilizopo nje ya uwezo wake akaja tofauti.Kuna makala moja nilisoma ilikuwa inawahusu raia wawili wa nchi fulani,inaelezea mwanamke aliyekuwa na sura mbaya akafanyiwa 'plastic surgery' ya sura na maungo yake.Baada ya muda alikuja kuolewa,na akajifungua watoto kadhaa na wote walichukua sura yake halisi...wakawa hawavutii,sasa mumewe akafungua kesi kwa nini mkewe amemzalia watoto wenye sura ambayo haieleweki?katika migogoro ya namna hii,nani huwa chanzo cha haya yote?
 
Hapa kujilaumu mwanaume hapa nakupiga bao kote kule mwanamke akapata mimba ila Luna bao la mkono mwanamke alifunga akamzidi kete kwa motto kufanana na mama make badala ake
 
Hapa kujilaumu mwanaume hapa nakupiga bao kote kule mwanamke akapata mimba ila Luna bao la mkono mwanamke alifunga akamzidi kete kwa motto kufanana na mama make badala ake
ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom