Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Nilishalia sana kwa mrembo flani kipindi hicho, Nilishaomba sana samahani kwa makosa ambayo ata sikuwa nimefanya mie,
Kuanzia mapenzi yanipe Funzo nimegundua kitu kimoja neno Samahani kwenye mapenzi ni Unafiki,
Nikikukosea nakili ndio kweli nimekosea nakupa nafasi ya kunihukumu lakini kamwe usitegemee kama kuna siku nitakuja kukuomba msamaha, "Maisha yako yote sahau hiyo"
Ukinikosea kwangu nakupima kwa ukubwa wa kosa lako na kukuhukumu lakini kamwe usitegemee kuomba msamaha nikakusamehe,
Nachukia Neno "Samahani" kwenye mapenzi, ukiona mtu mzima katenda kosa na kuomba Msamaha ujue alidhamilia lakini alijua hautojua itakuwa siri yake,
"mtu na Akili yake anatenda kosa la usaliti huku akijua wazi ni maumivu makubwa kwa mwenza wake endapo akijua lakini kwa kuwa kuna neno Samahani anajua atalitumia hilo na atasamehewa "
Ni Upumbavu wa kiwango cha makinikia kuamini Neno Samahani linalotoka kinywani kwa mwenza wako katika Mapenzi.
Cc Zero IQ.