Naombeni ushauri juu ya huyu binti:

Elly ceejr

Member
Dec 24, 2016
51
17
Niend direct kweny maada
Kuna binti nmetokea kumpenda sana nmeanz nae mahusiano mwaka jana tumekua tukiendlea vzur san lakin siku ya jana cjamuelew kabsa aliniaga anaenda kukutana na kaka ake Kurasin mida ya saa 1 ucku na atarud saa 2 ucku lkn mpk saiz bado hajarud nlijarbu kumpgia cm mara6 hakupokea baadae akatuma text kwamba amelew sn hawez kurud, nkamuulza tangu ln umeanz kunyw pombe?, kama kwel ni kaka ako kwann akunyweshe pombe had ulew ushindwe kurud?, Hakujibu chochote mi nkalal asubuh anaanz kuntumia text cjamjb chchte
Naomben ushaur wenu nfanyaje?
 
Kijana nakushauri tu, mambo ya kumpenda binti then miaka mi4 sijui mi2 unamsoma tu yashapitwa na wakati, eti unamsoma utafikiri unachukua Master ya Computer Science!
Anyway achana nae yuko kwa mwenzio na alikunywa bia za watu, hivyo alikuwa analipia bia za watu alizokunywa ndio maana hakupokea simu zako
 
Niend direct kweny maada
Kuna binti nmetokea kumpenda sana nmeanz nae mahusiano mwaka jana tumekua tukiendlea vzur san lakin siku ya jana cjamuelew kabsa aliniaga anaenda kukutana na kaka ake Kurasin mida ya saa 1 ucku na atarud saa 2 ucku lkn mpk saiz bado hajarud nlijarbu kumpgia cm mara6 hakupokea baadae akatuma text kwamba amelew sn hawez kurud, nkamuulza tangu ln umeanz kunyw pombe?, kama kwel ni kaka ako kwann akunyweshe pombe had ulew ushindwe kurud?, Hakujibu chochote mi nkalal asubuh anaanz kuntumia text cjamjb chchte
Naomben ushaur wenu nfanyaje?
mkuu kama unataka kuishi maisha ya furaha fanya hivi mbane mpaka uujue ukweli pia anza kujiweka mbali naye...unajua mahusiano yana...na principle ya kwanza ya mahusiano ni heshima ya kuheshimu kwamba mtu una mwanamke au mwanaume na hiyo heshima lazima ilindwe sio mtu anaaamua kupotea tokea usiku afu anakudanganya hivo...sisemi kaanza tabia mbaya ila hiyo its a wake up call...mimi pia iliwahi kuwa hivo hivo ila kwa vile huwa mapenzi ni upofu nikajifanya eti gentlemen wakuelewa ila kilicho nikuta mbele ...mpaka leo hawa mademu na wwamin asilimia 0 kati ya 100%...mwisho jitahid ujue alikua wapi na chunguza nyendo zake pia anza kujiweka mbali naye,,,,once a women starts being in a sexual relationship with the other man hataukumbuka hata ule wema mdogo kabisa uliowahi kumfanyia there very weak when comes to sex and money very weak...i mean very weak
 
Una haja ya kusubiria kifo ilihali anataka kukuua bado anaweka magazine?

#mkimbie haraka kiruka njia huyo.
 
Umeliwa dogo akirudi mkague mbunye yake lazima ukute maani za jamaa wa kurasini.

Back
Top Bottom