Waume kwa wakwe kama umewahi tamkiwa hivi twambie ulijisikiaje

Michael joshua

Michael joshua

JF-Expert Member
Apr 27, 2016
217
250
Du! nlijisikia kama mfalume kuasi kwamba siamini kinachonitokea sahzi mapenz haya basi tu
 
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

JF-Expert Member
Mar 9, 2019
252
500
Bora utamkiwe na unaempenda, ikiwa hawa wa kupoteza muda nafsi inakusuta hatari
Hahah kazi kweli kweli
Mungu atunusuru hahaah nimecheka sana hii kitu .
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,161
2,000
Duh me kuna dem kaniambia niwe makini, mpaka sasa sijajua kamaanisha nn
 
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Nov 30, 2018
390
500
maneno yote yanayotamkwa kwa hisia na moenzi wako jua kama yanaweza kuwa asali au shubiri, kubwa kuwa na subra kwani wakati utafika na utaelewa maana ya hiyo kauli yake
 
James88

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,699
2,000
Niliwaji kutamkiwa hivo... Two months later akaniacha.... Ila This time anajutia....
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
36,206
2,000
Mimi nitamchukulia Tapeli tu --maana penzi likiwa jipya jiandae kujihisi umekwenda Ulaya bila visa. .ila likichacha jiandae kuonyeshwa rangi ambazo hujawahi ona
 
nosspass

nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
4,716
2,000
mapenzi ni sanaa........na sanaa hufanywa na wasanii......so lazima uwe msanii ukiwa kwenye mahaba na mahabuba wako....
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
14,414
2,000
Niliwahi tamkiwa na mwanaume niliekua simpendi..nilijikuta nasonya tu
 
Jang-Bogo

Jang-Bogo

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
2,492
2,000
Nachojishangaaga ni kwamba akil yangu haijawah kulewa mapenzi.Full time mnara wa akili timamu umejaa full BARS hata niwe uwanja wa fundi seremala 6x6 hakuna nitakachoambiwa kikapita moja kwa moja kweye moyo bila kuchujwa na AKILI yangu..so sijawah kushangazwa na kauli yoyote kwenye mapenzi toka nizaliwe
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
12,048
2,000
Wakikolezwa vizuri wengi husema hivyo
 
Top Bottom