Wanawake nashindwa kuwaelewa

Wanawake nashindwa kuwaelewa

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,806
Salam kwenu wakuu.
Wanawake bana nashindwa kabisa kuwaelewa.
Hivi inawezekana Mwanamke akatoka home kuelekea katika mihangaiko yake bila kuvaa hata PICHU?🙄🙄🙄
Leo Asubuhi wakati naelekea katika mihangaiko,nikiwa katika Bajaj
napita maeneo ya Wilaya ubungo, kukawa na kaupepo Fulani hivi, nilishangaa sana baada ya upepo kufunua skirt ya Dada mmoja aliyekuwa amesimama nje ya Genge LA bidhaa, na KUMUONA AKIWA MTUPU KABISAAA,
nikabakia na maswali hivi hawa viumbe na aina ya nguo zao,na maumbile yao yalivyo bado wanathubutu kutokuvaa CHUPI?
 
Toa maelezo sahihi kama alikuwa na mavuzi ya kutosha iyo pia ni chupi tu
 
Inawezekana alivaa bikini halafu kale kakamba kembamba kakawa kamezama kwenye mstari wa ikweta kwa vile wewe mwenyewe ulikua unawenge ukashindwa kuzoom vizuri.
 
Back
Top Bottom