Unapenda wanamna gani

Unapenda wanamna gani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,924
Reaction score
61,694
Mwanamke ni sawa sawa na gari,kuna ist,ford ranger,explorer,landcruiser n.k pia wapo wenye cc 1000, 2500 n.k Mi napenda ford explorer,landcruiser n.k yaani wale waliojazia wanaoanzia cc 4600.Je wewe unapenda wa namna gani?
 
Yan mkeo, mama watoto wako au mzazi mwenzio unamfananisha na gari kweli tunafika kweli...dunia simama nishuke
 
Me nasubir picha nione Ni waina gani ya gari
kagar.jpg
 
Back
Top Bottom