Kupeana vitu

Kupeana vitu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,924
Reaction score
61,695
Maisha ya ndoa raha sana hasa pale mnapokuwa mnatafuta watoto;akiwa jikoni unampa kitu,bafuni unampa kitu,chumbani unampa kitu,sebuleni unampa kitu,kama uko kwenye uzio pia unampa kitu,akiwa anapanga vyombo kabatini unampa kitu....muda mwingi ni wakupeana vitu tu.Jamani peaneni vitu...
 
ha ha ha...
chekka.jpg
 
Back
Top Bottom