Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sisi wanaume tumeandikiwa kula kwa jasho, na lazima tuwahudumie wapenz wetu ipasavyo, kama ni hela lazima tuwape hamtakiw kuteseka kifedha hata kidogo. Pia mwanaume kufanya mapenz kabla ya ndoa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje...
3 Reactions
55 Replies
8K Views
#Nina miaka 26 #Masters degree holder #Tutorial Assistant katika moja ya University hapa Tz Namtafuta mchumba awe: #charming person #age 19-23 #Christian #Awe humble #Atleast awe na elimu hata...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari ya jumamosi. Ni jamaa yangu mmoja akaniambia ebhana ee nataka nijilizishe kama shemeji yako hachepuki. Nikamuuliza why, akasema yaani naona siku hizi yuk busy na simu sana hadi anapoteza...
3 Reactions
66 Replies
9K Views
Wakuundugu...kuna ile mtu unavokua una imagine uje kuwa nan,lets say,Dr..pilot.engeneer etc... Sasa hapohapo watu huwa wana imagine mademu/wanaume wanaowish waje kuwa nao wakioa, Kwa mfano...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Naomba mtujuze sisi wanaume kipi mnashawishika nacho kwa haraka? Je, kutongozwa kwa kupewa pesa au kupigwa sawaga tu? Karibu kwa maoni yenu
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF! Jamani leo tena kuja kwenu ili kubadirishana mawazo juu ya swala zima la mahusiano. Ni miaka kadhaa sasa nipo kwenye mahusino. Ila kinacho nishangaza ni kuwa sijawahi kudumu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,naomba kujua utaratibu wa ndoa za kiserikali,nimewaza nifunge ndoa ya kiserikali
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Tunakwama wapi ukiingia kwenye daladala unakuta wanawake Ni wengi Kuliko wanaume hata katika vituo vya daladala na maeneo yote mitaani mpaka NYUMBANI kwenu wanawake Ni wengi Kuliko wanaume. Lakini...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Huyu mwanamke nilikutana nae miaka 8 iliyopita ,alikua na mwili wa wastani kabisa na nilienjoy penzi lake kwa kila style niliyomuweka Sasa baada ya kupata kazi ya mshahara mnono na kuzaa tena...
16 Reactions
182 Replies
25K Views
Kwa wazazi, je ni sahihi kumnunulia binti yako wa miaka 14-15 simu hizi za kisasa huku bado anasoma? Naomba kujua mawazo yenu, je ni sahihi na kama sio sahihi pia kwa sababu gani? Ahsante.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ninalilia penzi, wewe unachezea penzi Daah unajua huwa naona wivu sana hasa pale napoona wapendanao wamekaa somewhere wakipeana mapenzi, mahaba, wakienjoy pamoja daah huwa inaniuma sana wivu...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
1. Viatu huisha upande mmoja 2. Lazima awe shabiki wa *_YANGA_* 3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe 4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa. 5. Kufungua soda...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Ni kuhusu yule bidada anaenikasirikiaga kazini, weekend hii kidogo tu nipatikane. Bahati ilikuwa upande wangu nimesevu kwenye tundu la sindano. Mwanamke mbaya huyu looh!!
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Unajua mm sijawahi kuwaelewa wanaume. Sasa baada ya kumtoa babu kwa bibi huwa mnamchungulia ili iweje? Hata mkienda toilet lazima umshike umuangalie kwanza babu huwa mnamaanisha nini? Kwa kweli...
15 Reactions
338 Replies
29K Views
Katika makuzi yangu naweza kusema wanaume wanapokuwa katika rika dogo hutilia maanani sana mahusiano yao na huweka malengo ya muda mrefu na wenzi wao kwa kuwa fikra ya mwanaume ndiyo huanza...
16 Reactions
92 Replies
10K Views
Salamu wakuu, Maendeleo ya teknolojia yana changamoto zake na pia faida kubwa sana kwenye maisha yetu, hii pia imeonekana kwenye malezi ya watoto na maisha yao kwa ujumla Je, watoto wanaolelewa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa wenzangu, Ushauri wengu ndio maamuzi yangu,ilikua mwaka jana nilipo achana na huyu binti niliyekutana naye kama miaka miwili nyuma,nilikaa naye home kwetu miezi miwili na nusu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka 1995 Nyerere alinukuliwa akisema kwamba "Dhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu. Ukianza kula nyama ya mtu hutoacha mpaka siku unaingia kaburini" Watu wengi mpaka leo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mabaharia wenzangu mpoooo?.............. kina dada je mpoooo?...........NI YA KUOGOFYA..... HAITAZAMWI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom