Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jukwaa wenzangu, Ushauri wengu ndio maamuzi yangu,ilikua mwaka jana nilipo achana na huyu binti niliyekutana naye kama miaka miwili nyuma,nilikaa naye home kwetu miezi miwili na nusu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka 1995 Nyerere alinukuliwa akisema kwamba "Dhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu. Ukianza kula nyama ya mtu hutoacha mpaka siku unaingia kaburini" Watu wengi mpaka leo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mabaharia wenzangu mpoooo?.............. kina dada je mpoooo?...........NI YA KUOGOFYA..... HAITAZAMWI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tatizo la Mwanaume Ni Kwamba, Anaweza Kukufanya Uamini Anakupenda, Lakini Hakupendi Tatizo la Mwanamke Ni Kwamba, Anaweza Kukufanya Uamini Hakupendi, Kumbe Anakupenda.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mtu ana mashaka juu ya hili?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nawasalim wote, Baba na mama wa mke wangu walikuja mwaka 2011 kututembelea hapa Dar, ilikua wakae mwezi mmoja then warudi kijijini. Lakini cha kushangaza hivi ninavyozungumza nanyi tarehe...
18 Reactions
351 Replies
56K Views
Huyu bishost nilisoma nae, lakini tangu tukiwa shule alipenda mambo makubwa. Aliliwa na waume za watu na mababa yenye pesa. Mtihani wa form four majibu yalipotoka wala hakujali kuyaangalia...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo chajieleza asee hii ni ishu ambayo mpaka sasa inanifanya niwaze sana. Ni uzi mrefu lakini naomba uusome yaezekana ukawa na la kunishauri juu ya hili. Ilikuwa mwaka...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Kuna watu,ukishaingia kwenye mahusiano naye umekwishaaaaa!! Kama ni mfanyabiashara utajikuta mtaji wako unaporomoka kila siku hatimaye kufilisika ,Kama ni mwajiriwa ugomvi usioisha na Boss wako...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU, Bila kupoteza time ni kwamba leo nikiwa napiga stori na father & mother,Mara mother akaniuliza swali la kizushi eti mbona hajawahi waona rafiki zangu wa kike wakija...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna dada mmoja wa kigeni alikuja mkoa ninaoishi kwa shughuli za kitalii;kwa kipindi chote alichokuwepo hapa mkoani, ninapokuwa na nafasi nilikuwa nampa kampani pamoja na tendo la utu uzima.Kwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kichwa kinajieleza nmepokea swala hili kutoka kwa mdogo wangu(jinsia ke) yeye anasema nafas za jkt zilizotangazwa ,vigezo alikuwa navyo amestruggle mpaka amechaguliwa ngaz ya wilaya. Baada ya...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Kwema wanajamii humu? Nimeona tushauriane kdg jins ya kuishi na mwanamke tajwa hapo, utakuta jamaa anataka amuone mtoto wake, utafanyeje? Vp aje hom Kwako? Au uende muende wote na wife? Alafu...
3 Reactions
73 Replies
11K Views
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo. Ambae atakufanya uwe na furaha, Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani. Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic...
6 Reactions
108 Replies
10K Views
Mimi namuacha siku hiyohiyo mpenzi aliyewahi kushika ujauzito siwezi Kuendelea naye mwanamke yoyote ambaye kafanya mauaji sio wa kuishi naye lazima tu ile roho ya mauaji ndo Hawa Hawa wanaofurahia...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi wa Jf. Wakati nipo chuo kikuu ilitokea binti 1 wa kipemba akanizimikia lakini akawa msiri, hakuweza kuniambia hisia zake. Kwa kweli wakati huo sikuyapa nafasi sanaa...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakuu kutokana na mambo nilio pitia nikahisi wanawake wote ni wale wale, Mwakahuu nilibadili location ya maisha baada ya kuona kila kukicha khali inazidi kua mbya mbongo basi nikahamishia business...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukiwa kwenye urafiki na msichana au mvulana kwa muda mrefu huwa kuna hisia zinakuja za mapenzi. Ila shida huwa inaanza pale ukimwambia tu unampenda unakula na Ban kwa wale walio kutwa na hili...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Cheki maneno ya single mother hapo, video.
1 Reactions
6 Replies
793 Views
Back
Top Bottom