Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ninalilia penzi, wewe unachezea penzi Daah unajua huwa naona wivu sana hasa pale napoona wapendanao wamekaa somewhere wakipeana mapenzi, mahaba, wakienjoy pamoja daah huwa inaniuma sana wivu...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
1. Viatu huisha upande mmoja 2. Lazima awe shabiki wa *_YANGA_* 3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe 4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa. 5. Kufungua soda...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Ni kuhusu yule bidada anaenikasirikiaga kazini, weekend hii kidogo tu nipatikane. Bahati ilikuwa upande wangu nimesevu kwenye tundu la sindano. Mwanamke mbaya huyu looh!!
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Unajua mm sijawahi kuwaelewa wanaume. Sasa baada ya kumtoa babu kwa bibi huwa mnamchungulia ili iweje? Hata mkienda toilet lazima umshike umuangalie kwanza babu huwa mnamaanisha nini? Kwa kweli...
15 Reactions
338 Replies
29K Views
Katika makuzi yangu naweza kusema wanaume wanapokuwa katika rika dogo hutilia maanani sana mahusiano yao na huweka malengo ya muda mrefu na wenzi wao kwa kuwa fikra ya mwanaume ndiyo huanza...
16 Reactions
92 Replies
10K Views
Salamu wakuu, Maendeleo ya teknolojia yana changamoto zake na pia faida kubwa sana kwenye maisha yetu, hii pia imeonekana kwenye malezi ya watoto na maisha yao kwa ujumla Je, watoto wanaolelewa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa wenzangu, Ushauri wengu ndio maamuzi yangu,ilikua mwaka jana nilipo achana na huyu binti niliyekutana naye kama miaka miwili nyuma,nilikaa naye home kwetu miezi miwili na nusu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka 1995 Nyerere alinukuliwa akisema kwamba "Dhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu. Ukianza kula nyama ya mtu hutoacha mpaka siku unaingia kaburini" Watu wengi mpaka leo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mabaharia wenzangu mpoooo?.............. kina dada je mpoooo?...........NI YA KUOGOFYA..... HAITAZAMWI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tatizo la Mwanaume Ni Kwamba, Anaweza Kukufanya Uamini Anakupenda, Lakini Hakupendi Tatizo la Mwanamke Ni Kwamba, Anaweza Kukufanya Uamini Hakupendi, Kumbe Anakupenda.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mtu ana mashaka juu ya hili?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nawasalim wote, Baba na mama wa mke wangu walikuja mwaka 2011 kututembelea hapa Dar, ilikua wakae mwezi mmoja then warudi kijijini. Lakini cha kushangaza hivi ninavyozungumza nanyi tarehe...
18 Reactions
351 Replies
56K Views
Huyu bishost nilisoma nae, lakini tangu tukiwa shule alipenda mambo makubwa. Aliliwa na waume za watu na mababa yenye pesa. Mtihani wa form four majibu yalipotoka wala hakujali kuyaangalia...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo chajieleza asee hii ni ishu ambayo mpaka sasa inanifanya niwaze sana. Ni uzi mrefu lakini naomba uusome yaezekana ukawa na la kunishauri juu ya hili. Ilikuwa mwaka...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Kuna watu,ukishaingia kwenye mahusiano naye umekwishaaaaa!! Kama ni mfanyabiashara utajikuta mtaji wako unaporomoka kila siku hatimaye kufilisika ,Kama ni mwajiriwa ugomvi usioisha na Boss wako...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU, Bila kupoteza time ni kwamba leo nikiwa napiga stori na father & mother,Mara mother akaniuliza swali la kizushi eti mbona hajawahi waona rafiki zangu wa kike wakija...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna dada mmoja wa kigeni alikuja mkoa ninaoishi kwa shughuli za kitalii;kwa kipindi chote alichokuwepo hapa mkoani, ninapokuwa na nafasi nilikuwa nampa kampani pamoja na tendo la utu uzima.Kwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kichwa kinajieleza nmepokea swala hili kutoka kwa mdogo wangu(jinsia ke) yeye anasema nafas za jkt zilizotangazwa ,vigezo alikuwa navyo amestruggle mpaka amechaguliwa ngaz ya wilaya. Baada ya...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Kwema wanajamii humu? Nimeona tushauriane kdg jins ya kuishi na mwanamke tajwa hapo, utakuta jamaa anataka amuone mtoto wake, utafanyeje? Vp aje hom Kwako? Au uende muende wote na wife? Alafu...
3 Reactions
73 Replies
11K Views
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo. Ambae atakufanya uwe na furaha, Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom