Ujumbe maalumu kwa wale mnaopendwa afu hampendeki.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,512
Mimi ninalilia penzi, wewe unachezea penzi
Daah unajua huwa naona wivu sana hasa pale napoona wapendanao wamekaa somewhere wakipeana mapenzi, mahaba, wakienjoy pamoja daah huwa inaniuma sana wivu unanijaa kama wote, nataman coz sijawai bahatika kupata upendo kama huo. Maisha yangu ya r/ships ni history tosha, ndomana niliamua kuwa mtu wa kuhit na kurun.

Sasa unkuta kuna boya au falafala flan anapewa penzi yani kilakitu anapendwa ila anazingua anamwona uyo mtu kama anampotezea muda anamwona kinyaa. Jaman jaman malipo ni hapahapa duniani unayomfanyia mwenzako na wewe utafanyiwa tu.

Mtu anaona maisha hayana maana bila penzi lako ila unaleta ushenzi, kuna watu hatujawai pata bahat kama iyo na tunatamani sana tupate mtu mwenye true love lakn hatupati tunaishia kuumia tu

Embu fikiria mtu anajitoa kwako kwa kila kitu ila mwsho wa siku unamuumiza daah inahuzunisha sana. Remember fortune does not repeat twice

Me nalilia penzi wewe unachezea penzi anakupa mapenzi wewe unaleta ushenzi. Utakuja juta. KARMA IS A BITCH.
 
Huwezi kujiforce kwa mtu usiyempenda

Inaweza kutokea kweli ukapendwa na mtu lakini ukawa hujampenda huyo anayekupenda....hili sio suala la kumlaumu anayependwa

Yani kupendwa na usiyempenda ni usumbufu mixer kuhisi kukereka tu kila muda akigusia masuala ya mapenzi
 
Kama mtu humpendi si unampotezea tu toka mwanzo anapokuaproach? au me unamtongozaje ke ambaye humpendi?

mtu humpendi why entartaining him/her?
 
Ndo hiko mtu anachofanya
Unamkataa tangu mwanzo,tena unamkataa ukiwa serious bila kupindisha maneno wala vitendo

Kinachotokea anakuomba muwe marafiki wa kawaida tu msahau mapenzi ama mwingine anakupotezea kabisa baada ya kumkataa as if mligombana lakini ghafla unamuona anarudi tena na mada zile zile za kupendana
 
kuna manzi aliniaminiaga kipindi hiko nasoma, aliniaminia sana akanchana nkamtolea nje maana mi nlikua sina hisia nae kabisa namuona kama rafiki tu

ilifika hatua akaamua kuja adi kihom akawachana masister wamsaidie kunielekeza kidume nkakaza as usual aliumia sana adi nahisi aliniachia laana tangu nimchomolee nje yeye sijawai pata mtu anaenipenda kweli adi huwa najuta some time huwa nafikiria bora ningemuigizia tu niwe nae huenda hisia zingekuja mbele kwa mbele

Key point kwene mapenz hata kama mtu humpendi jaribu kumuigizia tu usimkatae mazima inauma sana barnaba anasema bwagasha mdogo mdogo mkubalie ila mfanyie vitu ambavyo hapendi ili ajiengue mwenyewe

Tunatofautiana sana basi
Mimi siwezi kukubali mtu ambaye simfeel halafu badae nimuanzishie visa ili aniache...sijioni nikiishi hivyo

Kama sikutaki yani ni sikutaki na nakwambia kabisa haiwezekani

Hayo masuala ya laana haimake sense kabisa,yani ukatae kuwa na mtu upate laana????ni wewe tu na imani yako
 
Nataman wanaume wote wangekua kama mm
 
Tunatofautiana sana basi
Mimi siwezi kukubali mtu ambaye simfeel halafu badae nimuanzishie visa ili aniache...sijioni nikiishi hivyo

Kama sikutaki yani ni sikutaki na nakwambia kabisa haiwezekani

Hayo masuala ya laana haimake sense kabisa,yani ukatae kuwa na mtu upate laana????ni wewe tu na imani yako
Unaongea hivo kwa confidence kwa sababu hujawai mpenda mtu ukajitusu kumchana afu akakutolea nje, watu ambao washai penda wanalielewa hili ndio maana ata sheta anakwambia niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharau afu ibranation anakwambia ungenifikiria ata mara moja japo hauna hisia na mi, nidanganye kwa ngoja ngoja ntasubiiri

Hao wanasema hivo kwa sababu wamewai kupenda we unaongea hivo kwa sababu hujawai penda

Mimi mwenyewe dhamani nilikuaga na msimamo kama wako
 
Mimi ninalilia penzi, wewe unachezea penzi
Daah unajua huwa naona wivu sana hasa pale napoona wapendanao wamekaa somewhere wakipeana mapenzi, mahaba, wakienjoy pamoja daah huwa inaniuma sana wivu unanijaa kama wote, nataman coz sijawai bahatika kupata upendo kama huo. Maisha yangu ya r/ships ni history tosha, ndomana niliamua kuwa mtu wa kuhit na kurun.

Sasa unkuta kuna boya au falafala flan anapewa penzi yani kilakitu anapendwa ila anazingua anamwona uyo mtu kama anampotezea muda anamwona kinyaa. Jaman jaman malipo ni hapahapa duniani unayomfanyia mwenzako na wewe utafanyiwa tu.

Mtu anaona maisha hayana maana bila penzi lako ila unaleta ushenzi, kuna watu hatujawai pata bahat kama iyo na tunatamani sana tupate mtu mwenye true love lakn hatupati tunaishia kuumia tu

Embu fikiria mtu anajitoa kwako kwa kila kitu ila mwsho wa siku unamuumiza daah inahuzunisha sana. Remember fortune does not repeat twice

Me nalilia penzi wewe unachezea penzi anakupa mapenzi wewe unaleta ushenzi. Utakuja juta. KARMA IS A BITCH.
pole dada kwa mkasa
 
Unaongea hivo kwa confidence kwa sababu hujawai mpenda mtu ukajitusu kumchana afu akakutolea nje, watu ambao washai penda wanalielewa hili ndio maana ata sheta anakwambia niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharau afu ibranation anakwambia ungenifikiria ata mara moja japo hauna hisia na mi, nidanganye kwa ngoja ngoja ntasubiiri

Hao wanasema hivo kwa sababu wamewai kupenda we unaongea hivo kwa sababu hujawai penda

Mimi mwenyewe dhamani nilikuaga na msimamo kama wako
Wewe umejuaje sijawahi kupenda mtu?
 
Msimamo ulonao unajidhihirisha tu @joanah

Sijawahi kuona mwanaume nikampenda.......yani ile nikasema nimempenda kiasi cha kumfata na kumwambia nampenda

Lakini ikija kutokea nimpende mtu halafu nimwambie,naona ni vizuri akiniambia hanitaki nijue moja kuliko anikubali halafu aanze kunifanyia visa ili nimuache kama ulivyosema

Kimsingi mie naona bora ukweli mchungu,sipendi unafiki kabisa
 
Huo msimamo hata mi nilikua nao ila maisha ya mahusiano yamenifunza

Utabadirika tu time will tell
Sijawahi kuona mwanaume nikampenda.......yani ile nikasema nimempenda kiasi cha kumfata na kumwambia nampenda

Lakini ikija kutokea nimpende mtu halafu nimwambie,naona ni vizuri akiniambia hanitaki nijue moja kuliko anikubali halafu aanze kunifanyia visa ili nimuache kama ulivyosema

Kimsingi mie naona bora ukweli mchungu,sipendi unafiki kabisa
 
Kuna Mambo nimejifunza hapa kupitia hii thread na Sasa naenda kufanya mabadiliko
 
wengine ni damaged goods,wameumizwa hisia na hawawezi kupenda tena,usihangaike..lol
 
Back
Top Bottom