ANADAI NILEE MWANANGU

jmour

Member
May 12, 2019
82
26
Habari wana jukwaa wenzangu,
Ushauri wengu ndio maamuzi yangu,ilikua mwaka jana nilipo achana na huyu binti niliyekutana naye kama miaka miwili nyuma,nilikaa naye home kwetu miezi miwili na nusu na baadae akadai ni mja mzito nilikubali kwani kipindi chote hicho nilikua naye na hata kipindi cha hedhi kilikua kikimkutia home,sasa baada ya wiki mbili alisafiri kuelekea mkoani na nilikua nikiwasiliana naye vizuri tu,baada ya wiki kama mbili hivi alikata mawasiliano ghafla na ikafika kipindi akaniblack list nilikua nikimtafuta mara kwa mara kwani nilijua yu mjamzito lakini niligonga mwamba baada ya kuona mawasiliano ni magumu kwake,baada ya miezi mitatu hivi alinitafuta nilishtuka na kuona kama maajabu hivi mtu alipoteza mawasiliano kupatika tena ilikua kama ndoto hivi,nilimsalimia na kuanza kumuuliza chanzo cha kukata mawasiliano ghafla kwa kweli alinipa sababu ambazo sikumuelewa kabisa lakini nikamuuliza vipi kuhusu ujauzito wangu akadai alishatoa kwa kua nyumbani kwao walimpigia sana kelele,basi nikamwambia sawa ila kila mtu afate mambo yake tangu siku hiyo sikua na mawasiliano naye,

Baada ya mda kidogo kipita alinipigia na kuniambia mimba yangu inamsumbua sana nilichomjibu ni kwamba mimba alishatoa kwa hiyo mimba aliyo nayo si yangu,akaendela kunilazimisha na kunisumbua sana ilifikia wakati nilibadili mpaka namba ya mawasiliano kwa kipindi chote hicho sikuwasiliana nae.

Sasa ameibuka tena anasema kajifungua na anahitaji nilee mtoto hata kama mimba niliikataa,nifanyeje hapo? Ushauri wenu ni muhimu sana
 
Achana nae..naona alikua anacheza double chance kume fail kule karudi kwako
naijatwittersavages-20190610-0001.jpeg
 
Mzee umekuwa Plan B...baada ya A kufeli!
 
Fanya uchunguzi kama kweli ana mtoto, ikiwezekana nenda mpaka mkoa alipo ukajionee kama mtoto anafanana na wewe au mtu yyte kwenye familia yenu, au pima DNA kabisa. Sometime ni matatizo ya mimba yakafanya akuchukie asipende kuwasiliana na wewe na akaamua kukudanganya kua katoa mimba ili ukate tamaa ya kumsumbua. USIJE POTEZA DAMU YAKO MKUU.
.
.
Nna mfano hai tukio la kufanana na lako lilinikuta mwenyewe. Ilikua ivi....; Nlikutan na girl mmoja social media, yeye alikua anaishi mbezi mimi manzese, tulibadilishana namba tukawa tunachart finally tukawa wapenzi. Nlisex nae only twice, mara ya kwanza alikuja mtaani jioni, nkalala nae mpaka asubui, nlitumia condom round zote. Mara ya pili alikua ana safar ya k.koo atapita gheto kunisalima akigeuza, time anarud akapitia, gheto nlikua na condom moja tu imebaki, nkaona ngoja nipige kimoja tu asepe, nmepiga kimoja sijatosheka, potelea mbali akapiga cha pili cha tatu peku peku mtoto akasepa. Kumbuka sikua na hisia nae kiivo, nliona uyu wa kupita tu..,, baada ya apo tukaendelea kuwasiliana but sio mara kwa mara, inaweza pita week no salama., Ikapita kama mwezi ivi, akanambia nina mimba yako but nataka kutoa, nkaona kama ananizungua ivi nkamjibu sisi kwetu mwiko ukitoa na wewe unakufa, nlimjibu tu kiutani nkijua huyu kazamilia kutoa kweli.., nikeendela kuwasiliana nae nkijua mimba anayo, ikaja kipindi mawasiliano yakakata nkimpigia hapokei nkimtxt hajibu baada ya mda akanambia mimba yako nmetoa, sio kesi nkampotezea., Ikapita miezi kibao nkawa nshamsahu, siku akantafuta anambia anaumwa nimtumie ela aende hospital mimba angu inamsumbua afu niende kwao nkamwone, nliona uyu dema miyeyusho ananiwangia nkamwuliza wewe si ulisema mimba umetoa ebu niache kidogo, sikumtumia chochote.,,. Baada ya mda akantafuta akanambia nmejifungua, na mtoto kafanana sana mimi, alienda kujifungulia kwao Moshi uko. Nlimkataa nkamwambia aaachane na mimi..., Nliona uyu malaya ananizingua anataka kunibambika mtoto..,, ikapita miezi tena kibao siku moja sina ili wala lile, akanitumia picha za mtoto whatsapp, eee bwana ee!!! mtoto icho kichwa na masikio makubwa kama yangu, nkacheck picha zangu za utoto na yy alivo yaani tunafanana vibaya mno.., akanitumia na ujumbe " UYU MTOTO NI WA KWAKO KWA KUA ULIKATAA MIMBA NA ULIMKATA ALIPOZALIWA, HAUTAKUJA KUMWONA KAMWE" akanambia sav anaishi na bibi ake Moshi.. ikabidi nirudishe majeshi nianze kujipendekeza kwake niombe msamaa, kakaza. Japo nina mawasiliano nae kawaida saiv, ila kanikatalia kumuona mtoto, ana mwaka na miezi minne saiv. Roho inauma naikosa damu angu ivi ivi.
 
Maazimio ya kikao 24/03/ 2019

Hakuna kukataa mimba nenda kahakikishe kama ni mbegu yetu maana inaonekana bint aliwapa uroda we na mwenzako hamkupishana sana sasa kachanganykiwa

Hatutaki tena kesi za kukimbia mimba
 
Niliacha mtoto kwa upumbavu kama huo wana wananiambia damu yako hyo umefanana nae balaaa nikakaza mtoto ana mwaka wa 3 sasa mama yake hapatkan hewan kabisa na alipokuwa anakaa amehama kabisa na alishaniambia akikua mtoto nitamwambia " NIMEKUFA" so sad
 
Ko mkuu ushakufa mpaka sasa!!!
 
Fanya uchunguzi kama kweli ana mtoto, ikiwezekana nenda mpaka mkoa alipo ukajionee kama mtoto anafanana na wewe au mtu yyte kwenye familia yenu, au pima DNA kabisa. Sometime ni matatizo ya mimba yakafanya akuchukie asipende kuwasiliana na wewe na akaamua kukudanganya kua katoa mimba ili ukate tamaa ya kumsumbua. USIJE POTEZA DAMU YAKO MKUU.
.
.
Nna mfano hai tukio la kufanana na lako lilinikuta mwenyewe. Ilikua ivi....; Nlikutan na girl mmoja social media, yeye alikua anaishi mbezi mimi manzese, tulibadilishana namba tukawa tunachart finally tukawa wapenzi. Nlisex nae only twice, mara ya kwanza alikuja mtaani jioni, nkalala nae mpaka asubui, nlitumia condom round zote. Mara ya pili alikua ana safar ya k.koo atapita gheto kunisalima akigeuza, time anarud akapitia, gheto nlikua na condom moja tu imebaki, nkaona ngoja nipige kimoja tu asepe, nmepiga kimoja sijatosheka, potelea mbali akapiga cha pili cha tatu peku peku mtoto akasepa. Kumbuka sikua na hisia nae kiivo, nliona uyu wa kupita tu..,, baada ya apo tukaendelea kuwasiliana but sio mara kwa mara, inaweza pita week no salama., Ikapita kama mwezi ivi, akanambia nina mimba yako but nataka kutoa, nkaona kama ananizungua ivi nkamjibu sisi kwetu mwiko ukitoa na wewe unakufa, nlimjibu tu kiutani nkijua huyu kazamilia kutoa kweli.., nikeendela kuwasiliana nae nkijua mimba anayo, ikaja kipindi mawasiliano yakakata nkimpigia hapokei nkimtxt hajibu baada ya mda akanambia mimba yako nmetoa, sio kesi nkampotezea., Ikapita miezi kibao nkawa nshamsahu, siku akantafuta anambia anaumwa nimtumie ela aende hospital mimba angu inamsumbua afu niende kwao nkamwone, nliona uyu dema miyeyusho ananiwangia nkamwuliza wewe si ulisema mimba umetoa ebu niache kidogo, sikumtumia chochote.,,. Baada ya mda akantafuta akanambia nmejifungua, na mtoto kafanana sana mimi, alienda kujifungulia kwao Moshi uko. Nlimkataa nkamwambia aaachane na mimi..., Nliona uyu malaya ananizingua anataka kunibambika mtoto..,, ikapita miezi tena kibao siku moja sina ili wala lile, akanitumia picha za mtoto whatsapp, eee bwana ee!!! mtoto icho kichwa na masikio makubwa kama yangu, nkacheck picha zangu za utoto na yy alivo yaani tunafanana vibaya mno.., akanitumia na ujumbe " UYU MTOTO NI WA KWAKO KWA KUA ULIKATAA MIMBA NA ULIMKATA ALIPOZALIWA, HAUTAKUJA KUMWONA KAMWE" akanambia sav anaishi na bibi ake Moshi.. ikabidi nirudishe majeshi nianze kujipendekeza kwake niombe msamaa, kakaza. Japo nina mawasiliano nae kawaida saiv, ila kanikatalia kumuona mtoto, ana mwaka na miezi minne saiv. Roho inauma naikosa damu angu ivi ivi.
Yote hayo ya nini master?
 
Dah,mkuu nimepata kitu kupitia hii asante sanaa kwa hili
 
Back
Top Bottom