Salaam wakuu.
Ni kuhusu yule bidada anaenikasirikiaga kazini, weekend hii kidogo tu nipatikane.
Bahati ilikuwa upande wangu nimesevu kwenye tundu la sindano.
Mwanamke mbaya huyu looh!!
We ni mwanaume?Salaam wakuu.