wanabodi kuna hali niliwahi kukutana nayo na juzi juzi pia imenitokea.
iko hivi kuna binti mkali sana nilimfukuzia nikafanikiwa kudate nae lakini huwezi amini baada tu ya bao la kwanza mzuka...
*DUH AMA KWELI NDOA ZINA MAMBO[emoji16][emoji16]*
Kuna kijana alikua anajua
kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi
akamwuliza mke,
mkewe akakataa,
akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia...
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo...
Nakumbuka ndo nilikuw nimeanza date na manz mmoja hiv sasa bana siku moja tupo ndani chumba self nikabanwa na tumbo balaa uharisho sio wa nchi hii nikazama ndichi bila kuangalia kama maji yapo au...
In short wanawake wanapenda sana pesa, ndomana utaskia nataka mwanaume mwenye pesa ila sisi makapuku hatuna nafasi kabisa, cha ajabu hao wanaume wanaowakimbilia wanashindwa kuwamudu ,Mwisho wa...
Hii kauli kiukweli ina uma sanaaa,unapotamkiwa na mtu yeyote.
Na ina uma pale kiukweli wewe ni dhaifu kwenye mambo Fulani.
Mfano leo mke wangu kanitamkia kuwa Mimi ni dhaifu sana kwenye kufanya...
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi.
Nilikuwapo kwenye mahusiano na mabinti wawili hivi.
Huyu wa kwanza anaonekana ana mapenz ya dhati kwangu japo tulisha achana,kwa sababu ya yeye...
Inauma sana
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama...
Hivi kwa mfano mmeoana watu wa ma fashoon mpo ndani ya ndoa mkaanza kunenepa mara vitambi vimechipua ndoa nayo inakufa?
Hizi pumba mnazifikiriaga kweli mnapowekaga hivyo vigezo?
Nataka mweusi ua...
Napatwa na huzuni sana kila napoelezea huzuni yangu toka kwenye kina kirefu cha moyo wangu kuna wanaume wamekuwa wakinidhihaki na kunikashifu. Ni kweli kuna wakati mwanamke anaweza nitoa machoz...
Wakuu,
Nilikuwa nimegombana na shemeji/ wifi yenu kama nusu saa iliyopita kwa jambo ambalo halikuwa kubwa sana lakini kila mtu akawa off mood.
Basi katoto ketu ka mwaka mmoja kalikuwa kamelala...
Kutongoza binti wa kiafrika ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani;majukumu yote ya wazazi wake au yale ya kwake utaamishiwa wewe, haijalishi kama ana kazi au hana kazi.Nashauri vijana...
‘Elimu ni ufunguo wa maisha.’ ni usemi wa enzi utumikao kuhamasisha watu wapate elimu. Katika miaka ya hivi karibuni shule zimekuwa nyingi sana zenye kufundisha mambo mengi na kila mzazi anataka...
Mwezi Februari mwaka huu tulipokea simu toka shehia moja (jina tunalihifadhi) ambapo jirani alitueleza kisa cha kijana kumlawiti mwenziye mwenye ulemavu wa macho ilihali yeye ndiye muangalizi wake...
Wakubwa poleni na majukumu,
mimi nipo apa guest kwa mala ya kwanza ndo nipo na demu iv ila sasa kasema nivae modo
sasa ndo nipo najiuliza je nikifika dukani niulze nn maana naogopa kusema nahitaji...
Jaman jana nilkuwa na apointment na she fulani. muda tarajiwa ulpofika nikawanashangaa mtu hajibu sms wala hapokei simu. unajua niliudhika ila mwisho wa siku nikamshukuru mungu kwa kuniepusha na...
Wana Jamiiforums kumradhi kama humu jamvini kuna watoto.Hebu ujikumbushe enzi zile ulianza kuonja penzi na nani.
Mimi mara ya kwanza kukutana na mwanadada huko soni Lushoto nikiwa form 3 tukiwa...
Kwa utafiti wa Tanzania Kuwa watu wengi Wana matatizo ya akili inawezekana Ni kweli Sasa Kama Ni kweli inaonekana ukizaa watoto wanne wanaweza kutokea watatu au wote wakawa na akili ndogo Sasa hio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.