Sifa za mwanaume asiye na Hela

Sifa za mwanaume asiye na Hela

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,592
Reaction score
2,383
1. Viatu huisha upande mmoja

2. Lazima awe shabiki wa *_YANGA_*

3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe

4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.

5. Kufungua soda kwa meno

6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini

7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa

8. Kufuta jasho kwa vidole

9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.

10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo

11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari

12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.

13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.

14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.

15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.

16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.

17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.

18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.

19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika.

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] *_Ukimind Njoo Tupigane_*
 
20. Anahudhuria mikutano yote ya bure, siasa, dini, harusi, birthday, kupiga mwizi nk
 
Tatizo hizi text mnakopi sana zinapoteza mvuto unakuta zimepita magroup ya whatsap zimekwenda Facebook ndo mnazoleta hapa
 
23: wanapenda kukaa kwenye vijiwe vya kahawa
 
Na wanapenda Sana kuikosoa serikalii [emoji23][emoji23]
 
26: kila ndugu yake mwenye hela kidogo ypo dar
 
Sifa moja wapo ulioisahau ni WAONGO balaa, anaweza kumwambia mwanamke "Go To Hell" kwa sauti ya uongo na maneno matamu mpaka mwanamke akajua "Hell" ndio "Pepo/Ufalme" wa mungu.[emoji2955]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom