Pesa mbele kupendwe bahati! Hatari sana
Kwani mkuu hadi leo kila unayemtongoza hakukubalii tu? Kama hauna pesa basi endelea kuwapiga 'sawaga' tu, ila kwa ule uzi wako wa kwanza kabisa wewe ni fundisho tosha kwa wanaume wenzio wanaoamini kuwa hakuna mwanaume anayekosa mwanamke, eti kwamba wanawake wapo tu muda wowote na mahali popote, wanasahau kwamba dunia imebadilika na zama zimebadilika. Napita tu.Naomba mtujuze sisi wanaume kipi mnashawishika nacho kwa haraka? Je, kutongozwa kwa kupewa pesa au kupigwa sawaga tu? Karibu kwa maoni yenu
Mpaka saivi nitaendelea kuamini kuwa hakuna mwanaume anayekoswa mke labda asiwe na pesa. Kama yupo mwenye pesa na kakosaa ajitokeze tujuaneKwani mkuu hadi leo kila unayemtongoza hakukubalii tu? Kama hauna pesa basi endelea kuwapiga 'sawaga' tu, ila kwa ule uzi wako wa kwanza kabisa wewe ni fundisho tosha kwa wanaume wenzio wanaoamini kuwa hakuna mwanaume anayekosa mwanamke, eti kwamba wanawake wapo tu muda wowote na mahali popote, wanasahau kwamba dunia imebadilika na zama zimebadilika. Napita tu.
Mwenyekiti muongozoWewe nawe mpaka hao huelewi pesaa mbele kupendwa bahati
Mpaka saivi nitaendelea kuamini kuwa hakuna mwanaume anayekoswa mke labda asiwe na pesa. Kama yupo mwenye pesa na kakosaa ajitokeze tujuane
Jana watu kwenye vibanda umiza walikasirika kiasi kwamba matusi ndio ilikuwa lugha ya kuelewana humo.Eeh hebu rudia swali
Taifa star wamenichanganya sikskii vizuri
Yaani ni hivi amafaranga na masentePesa
Fedha
Hela
Aaaah kabisa.Yaani ni hivi amafaranga na masente