Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,802
- 43,202
Habari za kitambo mabibi na mabwana,
Mtaouliza mbona umepotea hivyo..!! Nipoo nimejaa tele nakusanya dolari, starehe tamu hivi acha nizitafute kwa nguvu zote.
Wandugu sio kama leo ndo najua utamu wa koni aka lambalamba, laah hasha. Bali Mahaba yameniamsha...... sukari tamu ila inabuchungu wakee.....
Najua wako wataoniuliza koni ipi? Wengine weka picha tuone.... picha iko hapo chini na koni yenyewe ni ya mfano huu.....
🍦🍦🍦🍦🍦🍦.
Namna ya kula koni....😋😋😋
Ukishaishika koni mkononi vizuri toa ganda kama iko kwenye kifuko kama iko wazi basi anza kulumangia koni na ulimi.
Shurti ulimi ufanye kazi ya kulamba lamba, meno yabaki uvunguni hapa hayahusiki kabisaa.
Ukishiba basi unanawa mikono yako hadi siku ukiwa na hamu ya kula koni tena u ajisevia kwa raha zako.
Kumbuka kupiga mswaki baada ya kula koni, si afya kushea koni na mtu mwingine.
NB: Kama hujawahi kula koni usionje maana hutokaa uache.🍦🍦🍦
Kasinde.