Simuelewi mpenzi wangu

madawi mart

Senior Member
Nov 27, 2018
175
225
Nina mpenzi wangu ninampenda lakini ananitia waswasi sana anatabia ya kusifia sana rafiki zangu hasa ambae nafanya nae kazi kada moja ya uhasibu yeye binti ni mwalimu sasa jamaa yangu anaasili ya ndevu nyingi japo hata mimi ninazo lakini mara nyingi anamuulizia hovyo sijui ana girlfriend?

Ohhh anao magirlfriend wangapi? ohh ana ndevu nzuri yule kaka yaaaani ni shida tupu mpaka nachukia naamua ninyamaze labda atajisahihisha inafikia hatua natamani nimwache aendelee na ishu zake ila najipa moyo labda atabadilika ni ujana tu je, Wana JF hili ni sahihi au ni wivu wangu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaby'z

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
3,813
2,000
Huyo demu ana dharau balaa pia hakupendi kindakindaki.
Kipindi niko chuo manzi wangu aliniambia anapenda mwanaume awe na zile ndevu za mashavuni (wakati huo hata za kidevu nilikua sina), nikamwambia achana na mimi katafute mwenye hizo ndevu!!!!
Muda ukapita kaona picha zangu akanitafuta ooh samahani sijui nini nikaweka status mtoto mkali ili aangalie aachane na mimi, cha ajabu mpaka leo hakomi aisee.
Kiufupi wanawake wanakuaga washaweka picha za mabwana zao kichwani, Achana nae huyo!!
 
The hitman

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
2,921

Mzee vipi na ww ulifuga ndevu kama lacazette ?
 
madawi mart

Senior Member
Nov 27, 2018
175
225
Ndo chakufanya namtengenezea mazingira hata nisaahau kwenye orodha yake namchora nikimpaka na rangi keeesha
Huyo demu ana dharau balaa pia hakupendi kindakindaki.
Kipindi niko chuo manzi wangu aliniambia anapenda mwanaume awe na zile ndevu za mashavuni (wakati huo hata za kidevu nilikua sina), nikamwambia achana na mimi katafute mwenye hizo ndevu!!!!
Muda ukapita kaona picha zangu akanitafuta ooh samahani sijui nini nikaweka status mtoto mkali ili aangalie aachane na mimi, cha ajabu mpaka leo hakomi aisee.
Kiufupi wanawake wanakuaga washaweka picha za mabwana zao kichwani, Achana nae huyo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,565
2,000
Mzee baba akili za kuambiwa changanya na zako, kwangu mimi naona ni dharau sana aisee demu wangu anaanza kumsifia mshikaji wangu ipo siku utasikia wamekutanisha vikojoleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom