Impimpi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 468
- 972
Mwanaume anaoa
Mwanamke anaolewa
Kwa maana nyingine ni kuwa:Mwanaume anatenda na mwanamke anatendwa.
Ukisikia mwanaume anamwambia mwanaume mwenzake kuwa unapenda vya bure utaolewa wewe!! Inaashiria kuwa kuolewa ni kitendo cha aibu katika jamii ya kiafrika ndo maana kwa waingereza hutumia neno 'marry' kwa wote na hii imechangia kiasi kikubwa kwa wanaume WA kiafrika kutokuheshimu taasisi ya ndoa.
Pendekezo:Unapimuuliza mwanamke au mwanaume kama ameoa au kuolewa muulize hivi ; kaka/Dada hivi umeoana?
Sent using Jamii Forums mobile app