Wazo la kuoa linazidi futika kichwani mwangu

DATEMWAMI

Member
Jan 29, 2019
24
45
Kama kicha kinavyojieleza.
Mimi ni mwajiliwa katika taasisi flani nilianzia kazi mkoa A na mwanzoni mwa mwaka jana nilihamishiwa mkoa B.Huko mkoa B nimekutana na mfanyakazi mwenzangu ambaye tumetokea kuwa maswahiba hadi kufikia kupiga story za mahusiano cuz mchizi hajao na mimi bado cjaoa.

Katika story mbili tatu jamaa akaniambia yupo kwenye mahusiano na mke wa mtu na wanapendena mno na hawawezi achana cuz mahusiano yao yalianza toka wapo o level ila walishindwa funga pingu za maisha kwa sababu ya utofauti wa dini jamaa nimuislam na mwanamke ni mkristo.

Jamaa leo kanionesha picha ya huyo mwanamke lahaula nimekuta ni picha ya mke wa jamaa yangu niliyesoma nae chuo kikuu.Urafiki wetu lidumu hadi kufikia hatua ya kuwa kama ndugu.Baada ya jama kunionyesha picha nilipigwa na butwaa hadi mshikaji akaniuliza mbona kama umeshtuka ila nikajitahidi kuweka usanii ili asinidadisi zaidi

Kwa jinsi huyo shemeji yangu alivyo mpole,mstarabu,mchamungu ckuwahi kuwaza hata siku moja kama anaweza kuwa msaliti wa ndoa na mara nyingi niluwa namwambia namuomba mungu anipe mwanamke mwenye mienendo kama yako.

Jamaa yangu na yeye ni mchamungu,mpole,mstaarabu kwani kipindi tupo chuo alichangia kwa kiasi kikubwa kunirudisha kwenye mstari kwani mwaka wa kwanza nilikuwa nimepinda na nilikuwa naelekea katika shimo la jahanamu.

Nimejisikia uchungu utadhani kama mimi ndiyo mwenye mke hapa naandika huu uzi jamaa yangu ananipigia simu kama kawaida yetu ya kusalimiana ila nashindwa hata kupokea kwa maumivu niliyokuwa nayo moyoni.

Wanajamvi naombeni michango ya mawazo cuz akili yangu inanituma kesho nikamwelezi mfanyakazi mwenzangu kuhusu huyo mwanamke ila kwa jinsi alivyokuwa ananieleza nahisi kabisa hawataweza achana na huyo mwanamke
.
 
sabosabo

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
2,062
2,000
Nilishawahi kutana sehemu na mchumba wa rafiki yangu sehemu kabananishwa, kesho yake nikamueleza mshkaj ile kisela tu kwamba mchumba wake hajatulia!

Chakushangaza jamaa akaenda kumeuleza huyo mchumba wake,sijui alishikwa wapi bhana akanitaja hadi mimi kuwa ndio niliyomwambia,huyo mchumba wake akanipigia simu akanitukana sana,toka hapo nikajifunza,wakati niliwambia kwa nia njema kabisa!
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
14,537
2,000
Hahaaaa pole kushushuliwa
Nilishawahi kutana sehemu na mchumba wa rafiki yangu sehemu kabananishwa, kesho yake nikamueleza mshkaj ile kisela tu kwamba mchumba wake hajatulia!

Chakushangaza jamaa akaenda kumeuleza huyo mchumba wake,sijui alishikwa wapi bhana akanitaja hadi mimi kuwa ndio niliyomwambia,huyo mchumba wake akanipigia simu akanitukana sana,toka hapo nikajifunza,wakati niliwambia kwa nia njema kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,818
2,000
Kama kicha kinavyojieleza.
Mimi ni mwajiliwa katika taasisi flani nilianzia kazi mkoa A na mwanzoni mwa mwaka jana nilihamishiwa mkoa B.Huko mkoa B nimekutana na mfanyakazi mwenzangu ambaye tumetokea kuwa maswahiba hadi kufikia kupiga story za mahusiano cuz mchizi hajao na mimi bado cjaoa.

Katika story mbili tatu jamaa akaniambia yupo kwenye mahusiano na mke wa mtu na wanapendena mno na hawawezi achana cuz mahusiano yao yalianza toka wapo o level ila walishindwa funga pingu za maisha kwa sababu ya utofauti wa dini jamaa nimuislam na mwanamke ni mkristo.

Jamaa leo kanionesha picha ya huyo mwanamke lahaula nimekuta ni picha ya mke wa jamaa yangu niliyesoma nae chuo kikuu.Urafiki wetu lidumu hadi kufikia hatua ya kuwa kama ndugu.Baada ya jama kunionyesha picha nilipigwa na butwaa hadi mshikaji akaniuliza mbona kama umeshtuka ila nikajitahidi kuweka usanii ili asinidadisi zaidi

Kwa jinsi huyo shemeji yangu alivyo mpole,mstarabu,mchamungu ckuwahi kuwaza hata siku moja kama anaweza kuwa msaliti wa ndoa na mara nyingi niluwa namwambia namuomba mungu anipe mwanamke mwenye mienendo kama yako.

Jamaa yangu na yeye ni mchamungu,mpole,mstaarabu kwani kipindi tupo chuo alichangia kwa kiasi kikubwa kunirudisha kwenye mstari kwani mwaka wa kwanza nilikuwa nimepinda na nilikuwa naelekea katika shimo la jahanamu.

Nimejisikia uchungu utadhani kama mimi ndiyo mwenye mke hapa naandika huu uzi jamaa yangu ananipigia simu kama kawaida yetu ya kusalimiana ila nashindwa hata kupokea kwa maumivu niliyokuwa nayo moyoni.

Wanajamvi naombeni michango ya mawazo cuz akili yangu inanituma kesho nikamwelezi mfanyakazi mwenzangu kuhusu huyo mwanamke ila kwa jinsi alivyokuwa ananieleza nahisi kabisa hawataweza achana na huyo mwanamke
.
Yaache kama yalivyo... Usijaribu kuwasha moto kwenye shamba lisilo lako... Na kwakweli sidhani hili ndio linakufanya uache kuoa... Naamini umri wako bado.... Hata sisi tuliyaona kama hayo tena mengine mabaya zaidi na tukajiapiza kama wewe lakini leo tuko kwenye ndoa

Jr
 
Noah de voxser

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,114
2,000
Brother mapenzi sio yakuyaingilia
ikumbukwe NENO unapolitoa linamfika mtu kwa namna yakipekee sana tofaut namakušudio
ushauri wangu uctamke neno lolote kwao wote ila kwa vitendo unaweZa fanya jambo
mfano wew na huyo jamaa(mnaefanya kazi wote) siku uyo jamaa akiwa anaongea na mke wa jamaa yako ukaomba kumsalimia kama utan
uyo mke wa jamaa atashtuk yey mwenyew na mamb yataanzia hapo
kwahyo unaweza usiseme ila kunanamma ufany mke wa rafikiyo ajue unaurafiki na mchepuko wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom