Tunakosea sana: Uhuni ni tabia na si Kabila

okaoni

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
1,394
2,000
....Amini babu.kawaida Tunahusisha Umalaya na kabira au Makazi au kazi Ya Manzi.
Tunakosea Sana, DHANA POTOFU SANA.

nina Manzi Mzaramo but she is Very Smart.
TUBADILIKE

Sent using Jamii Forums mobile app
1. unaonekana muhenga saana unatumia maneno ya ''Manzi'' ambayo ni maneno ya vijana wa zamani sana ambayo yalikwisha kutoweka kwenye matumizi ya kizazi cha leo?

2. ni kweri kuna Makabila mengine kutokana na mafundisho yao ya kimila inabidi mabinti wawe wahuni tuu, mfano mambo ya unyago, ngoma na matambiko mbalimbali kuna watangulizi wao wanakuwa kama waalimu wao, hivyo usidharau sana lisemwaro lipo

3.Yawezekana kweli kwenye ukoo akapatikana mmoja mwema lakini kwa sababu unapooa unajiunganisha na ukoo wao na ndugu zake wanakuwa ndugu zako basi ware ndugu zake watakuwa na tabia hizo hivyo kukukwaza.
 

kisiki kibichi

JF-Expert Member
Feb 14, 2019
451
500
Thanks mzee baba
1. Aroo Mura unaonekana muhenga saana unatumia maneno ya ''Manzi'' ambayo ni maneno ya vijana wa zamani sana ambayo yarikwisha kutoweka kwenye matumizi ya kizazi cha reo?

2. Aroo!!! ni kweri kuna Makabira mengine kutokana na mafundisho yao ya kimira inabidi mabinti wawe wahuni tuu, mfano mambo ya unyago, ngoma na matambiko mbarimbari kuna watangurizi wao wanakuwa kama waarimu wao, hivyo usidharau sana risemwaro ripo

3.Yawezekana kweri kwenye ukoo akapatikana mmoja mwema rakini kwa sababu unapooa unajiunganisha na ukoo wao na ndugu zake wanakuwa ndugu zako basi ware ndugu zake watakuwa na tabia hizo hivyo kukukwaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,226
2,000
Napingana na hoja,

1hv kweli kaka ushawahi kutana na mhaya hapendi sifwaa?!!

2ushakutana na msukuma asiye mshamba?!!

3ushakutana na mchaga hapendi pesa?!!

4Ushakutana na mhehe hapendi mbwa?!!

5ushakutana na mmasai hatumii ugoro?!!

6ushakutana na mkaskazin asiye mkorofi ama asiyetumia kirevi chochote?!!

7ushakutana na mtu wa sumbawanga asiye na chale pahala popote pale mwilini mwake(hata awe mlokore)

==>>Hebu ww, fanya kujiuliza tu, kama haujaona na hizo tabia kwa kila aina ya mtu niliokutajia basi utakuwa haujui kuangalia watu?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kisiki kibichi

JF-Expert Member
Feb 14, 2019
451
500
Dhana tu mzee baba
Napingana na hoja,

1hv kweli kaka ushawahi kutana na mhaya hapendi sifwaa?!!

2ushakutana na msukuma asiye mshamba?!!

3ushakutana na mchaga hapendi pesa?!!

4Ushakutana na mhehe hapendi mbwa?!!

5ushakutana na mmasai hatumii ugoro?!!

6ushakutana na mkaskazin asiye mkorofi ama asiyetumia kirevi chochote?!!

7ushakutana na mtu wa sumbawanga asiye na chale pahala popote pale mwilini mwake(hata awe mlokore)

==>>Hebu ww, fanya kujiuliza tu, kama haujaona na hizo tabia kwa kila aina ya mtu niliokutajia basi utakuwa haujui kuangalia watu?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,603
2,000
Amini babu, kawaida tunahusisha umalaya na kabila au makazi au kazi ya mwanamke. Tunakosea sana, ni dhana potofu sana.

Nina Mwanamke Mzaramo but she is Very Smart.
TUBADILIKE

Sent using Jamii Forums mobile app
What if anakujulia kiasi kwamba hupewi nafasi ya kuona usichotakiwa kukiona? Halafu definition ya umalaya ni relative kwa mila na desturi ya kabila husika. Hii ina maana kuwa mila ya kabila moja yaweza kuwa chukizo kwenye kabila jingine. Kwa mfano umasaini unaruhusiwa kulala na mke wa mtu mwenye rika moja nawe lakini ukifanya hivyo uheheni kuna mtu anaweza kujinyonga kwa hasira.
Stereo typing based on tribalcultural tendencies can't be avoided all together.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom