Jamani wanaume! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wanaume!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamayao, Feb 25, 2009.

 1. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii

  Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! Jana ma frnd anani-call usiku kuniomba tuonane ajue anafanyaje na maisha. Kwenda anasema alipotoka job jioni alikutana na frnd wa huyo mchumbake ambae yupo Mbeya kikazi but amekuja likizo, ktk maongezi akamwambia "Hata kama uliaachana na jamaa but nyie mlikuwa wapenzi kutengana ni kitu cha kawaida kwanini hukuja kwenye harusi ya jamaa?"

  Anasema nilisikia kuzimia, akam-call mchumbake awahi home wayaongee mchumbake akakubali kwamba kweli ameoa na blaa blaa kibao, analiaaa weee jamani mie nitafanyaje, jamani kwanini niliwaita kwenye engagement yangu ningejua ningefanya kimya kimya ili hii aibu inikute kimya kimya!....anafikiria ataawambia nini wazazi, atarudije home.. ata... ataa.. ataa..... mesenja kaleta balaaaaa.

  Nimsaidieje?
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Feb 25, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  He bado tu yupo kwa huyo mchumba feki??. mwambie aondoke kabisa na wala asijali watasemaje watu kwani ye ni wa kwanza kuvunja uchumba? watu wamevunja ndoa zilizofungwa makanisani itajakuwa uchumba?. nyamayao usitake nikuingilie opsss nipasue screen niingie kwa hasira chaaaa
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Naona Nyamayao marafiki zako wote vicheche.
  Wana kurupuka mno msaidie na hao wengine wasiwe wanakurupuka mtu kakutamkia atakuoa basi unaanza kumvulia.
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kama ni Muislam muambie akubali tu awe mke wa pili. Kwa sisi Wanyamwezi si BIG DEAL sana kuwa mke mwenza na mke wa pili si anapendwa zaidi?
  Vinginevyo mwambie "Kichwa juu mwana wa mama", yeye si wa kwanza na wala si wa mwisho. Wako wengi wameachika kwa njia tofautitofauti. Aibu ni huyo jamaa kwa kufanya UFISI wa aina hiyo na siyo yeye muathirika. Hivi kwa nini Mwanamke AKIDANGANYWA, basi anaona hiyo FEDHEHA ni yake? M-BADILIKE!!!!!!
   
 5. D

  Dina JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2009
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  In short, tell her there is life after love! Huyo mchumba 'for unforeseeable future' anaonyesha siyo mkweli, ni mangapi ambayo amshampiga fiksi mpaka leo hii? kama anaendelea kuishi naye, then it's her choice, lakini atakuwa amechagua kuishi na 'a total stranger' kwa maisha yake yote. Inawezekana baada ya mwaka tena akivuruga Dar (ingawa sina uhakika kama yuko Dar), he'll disappear for another year arudi Mby kwa mama mtoto wake! Miaka inaenda wote wawili mnaishia kuchezewa kama pia.
   
 6. K

  Kikambala Senior Member

  #6
  Feb 25, 2009
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  du hiyo kali avumilie tu maana lakuvunda halina ubani
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  switihati ucnitoe macho!, unajua alikuwa analiaaa tu na ni kitendo cha jana jioni, hapa ninavyosema hajaja hata job, nimemcal anasema hajickii fresh kabisa!
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  jamani ucseme hvyo Fidel, wamekaa uchumba kwa muda eti, wanalala wanaamka pa1, hata hivyo cku hizi urafiki hamna kama enzi za wazee wetu kwamba ukipendwa ni mpaka uolewe ndio u-du, siku hizi u-bfrnd leo kesho mna-du inategemea kama man ana sound fresh hata cku hiyo hiyo,kwani nyie men wa cku hizi mnazo zile za kusubiri mpaka ndoa?
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ni wakristo!anahofia ile engagement party 2liyokula itakuwaje, ataeleza vipi home kwamba alikaa na lim2 kwa cku zote hizo bila kujua kama ameoa au laa! swali langu kwake jana lilikuwa""mbona ulisema uliendaga mbeya kwa wazazi wa mchumba kutambulishwa sasa ilikuwaje tena?...kumbe alitudanganya hakufikaga huko but alisema alikwenda.
   
 10. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pema usijapo, ukijapo si pema tena! Yee achukue hamsini zake afanye makaratee apate kitu kingine. Unajua hata ukikaa na wachina pamoja na ubaya wao wa sura ukiwazoea utampenda mmoja tu! Kwa hivyo aachie mzigo kwa wengine.
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  nikimuona leo jioni ndio nitamckiliza ana lipi jipya ili nijue plan zake, then ndio nitamsaidia kiushauri.
   
 12. Jeni

  Jeni Senior Member

  #12
  Feb 25, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kiumbe kiitwacho mwanaume ni tabu kumtabiri ingawa si wote wapo hivyo. Cha muhimu ni kuachana nae aangalie ustaarabu mwingine. Ila kinachouma kwanini wanakuwa si kweli?? Na ni kwamba wametukuta tunahuruma sana. Mpe pole shogayo yataisha.
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwambie aachane naye anampotezea muda wake!


   
 14. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ukweli wa nini wakati mtu anataka kunywa mchuzi aondoke. Akikwambia ukweli si utachomoa dadake! Hivi mtu akikwambia mi nataka nikuonje tu then nitimue mbio utamuonjesha? Halafu akishaonja mchuzi akiona hauna chumvi avumilie tu??
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Hivi huyo anasibiri nini,,,, wenyewe ni wachumba tu sasa hakuna cha kupoteza aanze mbele chap chap wapo watu kibao hapa JF wanatafuta wachumba,,,,,atapata!
   
 16. Jeni

  Jeni Senior Member

  #16
  Feb 25, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwe2niKwe2 lakini si haki. Hivi mnajua kama mioyo yetu ni miepesi sana? Kama ni kicheche ndio utake kuonja mchuzi. Ila dah umenichoma moyo maana wengine tuna maradhi ya kupenda na kutendwa
   
 17. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  hawa wa2 hawakuonjana! walikuwa wapenzi wakatofautiana, ukaja uchumba wa muda mrefu, hilo gap hapo kati ndio lilileta mushkeri.
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Jeni hapa naogopa hata kujitetea manake uko short tempered usije ukanirukia bure! LOL

  Ni kweli mna huruma, lakini pia huruma zenu zinatudisguise tunashindwa kuona mambo mengine!
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Feb 25, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lakini nyamayao nikwambie kweli watu wa huko kukaja nadhani wengi wao wanazo tabia hizi. Mimi ninamfahamu mtu ambaye aliolewa kabisa na mtu wa huko ambaye hakumwambia kuwa ameoa tayari kwao. Ilikuwa patashika mbona ndoa ilivunjika mwanamke hakutaka utani alikusanya virago vyake akaanza mbere.
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  nimuelekeze kwako! LOL, lakini wanaume jifunzeni kuwa wakweli jamani, mie naona waliporudiana kipindi kile angemwambia 2 ukweli kwamba kipindi tulipotofautiana nilifanya ustaarabu huu na ule ili mdada wa wa2 ajijue yupo vipi, sasa mpaka akakubali kufanya engagement kumbe anajua linalondelea haaa 2pelekeni taratibu jamani.
   
Loading...