Wakuu heshima zenu bhana!! [emoji119][emoji119][emoji119]
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la...
Ukitaka kuoa unaangalia kipi kati ya hivi:
1. Uzuri wa sura na urembo,
2. Rangi ya ngozi kuwa nzuri au
3. Urefu wake au
4. Elimu yake au
5. Tabia yake ya kuwa mbabe kwa wanaume au
6. Jinsi anavyo...
Dem na jamaa waliachana almost kama miaka mi2 iliyopita
Kisa ni kwakuwa jamaa hakua na pesa plus pia dem inasemekana alimpata mtu mwingine
Baada ya break up jamaa alifanya juhudi kutafta pesa...
Kuna wanaosema kabisa kuwa wewe na mimi sasa basi, kuna wanaopiga matukio, kuna haya ya kutokupokea simu.
Shost alifikwa na la kuto kupokelewa simu, aliamini wakionana wataweka mambo sawa...
Habari za muda wakuu..
Niende kwenye mada;
Hivi kwanini mwanamke akichepuka inakuwa ngumu kwa mwanaume kusamehe tofauti na mwanaume akifumaniwa akichepuka? [emoji848]
Kwa kweli Dada zetu sijui Mnakwama wapi? kwamba hamna elimu ya uzazi, au mnakubali kudanganywa na kubebeshwa mimba ambazo mwisho wa siku mmakuja kutelekezwa na kusabisha watoto kukosa haki zao za...
Mambo vipi wazeeamama na wazeebaba,
Kuna dhana imejengeka sana kwa watu wengi haswa wanaopatikana mataifa yaliyopo matak..ni mwa dunia kuwa mwanamke anaependa umaskini na mwenye kuweza kuvumilia...
Kwa heshima na uadilifu najitokeza hapa kumtafuta mwanamke mwenye ugonjwa wa virusi vya maambukizi ya ukimwi kiukweli,ili awe mke wangu wa maisha yote!!Mimi ni mwanaume wa miaka kati ya 47 na...
Wanawake kaa mkijua hakuna mwanaume ambae ni mkorofi kwa mwanamke mtii, mnyenyekevu na anaejua shuka kwa mwanaume, kama yupo mwanaume ambae anaenda against basi huyo sio mzima na anaenda kinyume...
A lot of women put in more effort in making the best meal... Even parents drill ladies to cook right because it is believed only that way will she be able to keep her man... The society also...
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali wa saikolojia za binadamu zimebainisha tabia na mitazamo mbalimbali ambayo wanawake wengi wanavyowaza na kuchukulia mambo
1.Wanawake huvutiwa zaidi kimapenzi na...
Wakuu habar za leo.
Kwenye Dunia hii kuna watu ndoto zao huwa za kweli. Anacho ota kinatokea really.
Nina bro wangu yupo kigamboni jana nilienda site kuweka bikoni nikawa nae.
Katika stori za...
Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1. Akioga bafuni nadhani ni tank nzima ya maji anamaliza. Anaoga masaa 3(chumvi hii)ila anaweza achia bomba inamwaga maji hadi unajiuliza hivi haya...
Natumaini mko powa wadau.
Niende kwenye mada!!
katika maisha yangu ya ubaharia nimebahatika kupitia mitaa mingi sana CHIBONGE NA FLAT SCREEN
Kundi la CHIBONGE huwa linaniungasha walio wengi...
Leo nimefikiria nimeona Tutenge siku tutembee uchi sote kwa ajiri ya kumbu kumbu ya
Adam na Eva
maana wao si walikuaga uchi kabla ya kula Tunda au mnaonaje?
CC Zero IQ
Za leo wadau, Naomba ushauri juu ya shemeji/Wi-Fi yenu.
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-25 ni mwanamke ambaye nimekuwa kwenye mahusiano naye kwa miaka 4, Kitu cha...
Hapa nilipo kwa sasa kuna ugomvi baina ya wanandoa,mwanamke anamgombeza mwaume kwa kuota na kumuongea mwanamke ambaye ni shost yake
"Suzi una tako zuri,mpaka natamani nilishike hivi"
Hiyo...
Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo...
kuna dem nna kama week 3 namfkuzia ,uwa namwandkia sms muda mwngne hajibu muda mwngne ananipa hope ananiambia nivute subira . nkasema poa wacha niendelee kuvuta subira na hewa.asa leo Asubuhi...
Nimejaribu kwa Kina kufuatilia Visa mbalimbali hasa vya Mauwaji ya Kikatili ambavyo huwa vinawatokea Wanawake sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa ama Waume zao au Wapenzi wao na Kugundua ya...