Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 731
- 1,198
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali wa saikolojia za binadamu zimebainisha tabia na mitazamo mbalimbali ambayo wanawake wengi wanavyowaza na kuchukulia mambo
1.Wanawake huvutiwa zaidi kimapenzi na wanaume mwenye sauti nzito ya bass.
2.Wanawake huhangaika zaidi na wanaume ambao hawawapi antention ya kutosha kuliko wale wanaowapa attention.
3.Wanawake wenye IQ kubwa hubaki single muda mrefu zaidi wakihofia kuingia kwenye uhusiano na mtu asiye sahihi.
4.kwa wastani Wanawake hawawezi kutunza siri zaidi ya masaa 47 na dakika 15 kwa mujibu wa Tafiti
5.Wanaume hu socialize kwa kutoleana lugha ngumu na matusi lakini huwa hawamaanishi
Wanawake hu socialize kwa kusifiana na kupambana kwa majina mazuri lakini huwa hawamaanishi.
6. Wanawake 3 kati ya 4 wanapoangalia fashion ndani ya dk tano hupatwa na msononeko wa ajabu na stress nyingi.[emoji38]
7.Asilimia 70 ya wanawake hutumia ukimya kama njia ya kuonesha maumivu.
8.Wanawake huamini kuwa mwanaume anavutia sana endapo atamuona mwanamke mwenzie anajichekesha kwa mwanaume huyo.[emoji23][emoji23][emoji23]
9.Endapo mwanamke akiona mwanaume mwenye mvuto huongea kwa sauti nyembamba zaidi
10. Inaaminika kuwa mwanamke akivaa nguo zenye rangi nyekundu huongeza mvuto na nafasi ya kutongozwa zaidi kuliko asipovaa rangi hiyo
Niishie hapo ongezeni na nyie ..