Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1. Akioga bafuni nadhani ni tank nzima ya maji anamaliza. Anaoga masaa 3(chumvi hii)ila anaweza achia bomba inamwaga maji hadi unajiuliza hivi haya maji si nalipia lakini?
2. Akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nusu saa ndo anakumbuka kuwa kumbe anapasi. Hivi mimi si nalipia luku? Anaweza fua masaa mashine inazunguka tu anarudiaa eti anataka nguo ing’ae
3. Anamaliza sabuni akiosha vyombo
4. Akikaanga kuku sasa au samaki, yaani kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote. Yaani akija J’mosi hadi J’pili kuku wote kwenye friji wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi ni kwamba nimekuta kawasha gesi inatoka tu bila moto halafu hata hajajua. Nikawa nasikia tu “xiiiii” na harufu. Kuuliza hiyo si gas inatoka? Eti yuko heee alitaka chemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke muda huu. Hata hamu ya kugegeda imetoka