BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,244
Dem na jamaa waliachana almost kama miaka mi2 iliyopita
Kisa ni kwakuwa jamaa hakua na pesa plus pia dem inasemekana alimpata mtu mwingine
Baada ya break up jamaa alifanya juhudi kutafta pesa
Mungu akamsaidia mambo ykawa yanamuendea vizuri
Hakufanikiwa sana lakini angalau kesho yake alikuw anaiona
Tatizo sasa ni kuwa yule mwanamke anataka warudiane
Anambembeleza saana jamaa
Anadai pia kua kipindi walipoachana alianzsha mahusiano na mtu mwngne lkn alikataa ktambulishwa kwa ajili ya jamaa
Swali langu:..
1.kama ni wewe ni wew ungefanyaje?
2.huyu mwanamk ana lengo gani kwa jamaa??
3.je kuna haja kweli ya kurudiana na mtu km huyu??