Flat Screen Vs Chibonge, comment yako plz

Agresive

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
891
Reaction score
1,237
Natumaini mko powa wadau.
Niende kwenye mada!!

katika maisha yangu ya ubaharia nimebahatika kupitia mitaa mingi sana CHIBONGE NA FLAT SCREEN

Kundi la CHIBONGE huwa linaniungasha walio wengi uwezo wao ni mdogo sana kwa mechi, pia baadhi yao usafi pia ni changamoto ingawa siyo wote, style nyingi kwao unakuwa kama unamtesa.

Binafsi nimetokea now kutokushawishiwa na show zao,

Ni show chache sana za CHIBONGE naweza kuzipigia salute.

FLAT CREEN hili kundi mpewe maisha marefu maana show zenu ni za kibabe, hapa unapewa show kiasi kwamba room uliyolipia 35 hata hujutii pesa yako.
1.Wasafi sana
2.Kiuno feni
3.Style kama za vita ya 3 ya dunia ila anamudu.
4.Pumzi ya kutosha kwa show za kibabe 6+

wanawake wote flat sreen long live maana show zetu salute!!!

NAWASILISHA
 
Vipi waliopo mpakani mwa chibonge na flat screen mkuu?
Miezi michache nilijutia muda wangu sana mkuu, picha inaanza hivi kupitia APP moja hivi nikapendwa na mrembo tukachat kama mwezi na kufahamiana kwa kina so tukapanga atoke mkoani kwake aje kunitunukuu show, akanitumia picha umbo mashalah kiuno Nyigu.

akajilipia nauli coz hakuwa na njaa ya pesa na ni mtu anajiheshimu mfanyakazi Gvt

nikajilipua lodge safi, msosi safi, Show niliyopewa low quality kabisa, unaishia kuona mwili mzur but hawezi kuutumia nilijuta sana,

Now mrembo zaidi ya kilo 75 basi huyo siyo riziki tena
 
hujakutana na wanaojua tu, hao flat screen wapo wazito kinyama kama FIAT inapanda mlima
 
ni kweli wapo flat screen wazito ila ni wachache ukilinganisha na chibonge mkuu
 
Miezi michache nilijutia muda wangu sana mkuu, picha inaanza hivi kupitia APP moja hivi nikapendwa na mrembo tukachat kama mwezi na kufahamiana kwa kina so tukapanga atoke mkoani kwake aje kunitunukuu show, akanitumia picha umbo mashalah kiuno Nyigu.
akajilipia nauli coz hakuwa na njaa ya pesa na ni mtu anajiheshimu mfanyakazi Gvt
nikajilipua lodge safi, msosi safi, Show niliyopewa low quality kabisa, unaishia kuona mwili mzur but hawezi kuutumia nilijuta sana,
Now mrembo zaidi ya kilo 75 basi huyo siyo riziki tena
Duh, ingebidi umpe mafunzo kwa faida ya wengine watakaofuata mkuu.
 
Mkuu, kama unatumia vigezo hivyo pekee kupima basi unaweza kuwa sahihi lakini kumbuka
1. Hao "flat screen" nao wapo walio wachovu katika masuala ya faragha
2. Hao vibonge pia wapo walio na kashkash na ujuzi tosha katika masuala ya faragha
3. Kuna mengi ya kuwapima wanawake sio katika suala hili la faragha pekee.

Note: Kuna ambao tulikutana na vibonge wanaojituma na flat screen wanaojituma pia. Nikuombe tu usihitimishe hii report yako kwa kutumia "sample" moja tu. Endelea kutanya upembuzi yakinifu naamini utarudi hapa ukiwa na maono tofauti.
 
Uzi wako batili tangu lini ukamkuta Shangingi ni flat screen nadhani habari za hawa viumbe unazijua
 
Mkuu kwenye Flat screen wapo wa aina Tatu sasa hivi. Kuna LED, LCD na PLASMA
 
Mkuu, kama unatumia vigezo hivyo pekee kupima basi unaweza kuwa sahihi lakini kumbuka
1. Hao "flat screen" nao wapo walio wachovu katika masuala ya faragha
2. Hao vibonge pia wapo walio na kashkash na ujuzi tosha katika masuala ya faragha
3. Kuna mengi ya kuwapima wanawake sio katika suala hili la faragha pekee.

Note: Kuna ambao tulikutana na vibonge wanaojituma na flat screen wanaojituma pia. Nikuombe tu usihitimishe hii report yako kwa kutumia "sample" moja tu. Endelea kutanya upembuzi yakinifu naamini utarudi hapa ukiwa na maono tofauti.
Kuna maneno ya busara hapa mkuu nimekupa kabisa ngoja niingie chimbo tena
 
Back
Top Bottom