Saoka JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 468 Reaction score 682 Jul 30, 2019 #1 Habari za muda wakuu.. Niende kwenye mada; Hivi kwanini mwanamke akichepuka inakuwa ngumu kwa mwanaume kusamehe tofauti na mwanaume akifumaniwa akichepuka? [emoji848]
Habari za muda wakuu.. Niende kwenye mada; Hivi kwanini mwanamke akichepuka inakuwa ngumu kwa mwanaume kusamehe tofauti na mwanaume akifumaniwa akichepuka? [emoji848]
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,966 Jul 30, 2019 #2 Hiyo haijakaa mkuu... Imesimamia kucha
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,872 Jul 30, 2019 #3 imekaa ki uchungu uchungu zaidi na kiwivu wivu tu.
SHEVCHENKO JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 331 Reaction score 453 Jul 30, 2019 #4 Kwa sababu wanaume katika mahusiano ndo tunabeba kila kitu kwa hiyo mwanamke akichepuka ni dharau kubwa sana.
Kwa sababu wanaume katika mahusiano ndo tunabeba kila kitu kwa hiyo mwanamke akichepuka ni dharau kubwa sana.
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,785 Jul 30, 2019 #5 Mwanamke hatakiwi kabisa kuchepuka