Mpenzi wangu hana mambo kabsa chumbani

4rever young

Senior Member
Joined
Jul 26, 2019
Messages
137
Points
250

4rever young

Senior Member
Joined Jul 26, 2019
137 250
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,

Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
 
jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,896
Points
2,000

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,896 2,000
Hahaha....sio wako tu ni karibia madem wote hawanaga kitu,wanakuwa kama madem wa Gwaji boy....hapa naongelea 99% ua wanawake kuwa wao kazi yao ni ku spread their thigh tu....

Kwani ukimuacha utapata wa afadhali? I think not,baki naye tu hakunaga afadhali.
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
20,354
Points
2,000

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
20,354 2,000
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,
Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
Wewe ni mpumbavu sana. Wakiwa na mabwawa mnalalamika, wakina wajuvi mnalalamika,wakiwa goigoi mnalalamika.
Ni lini binadamu atakuja kuridhika?
 
Cacs

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
320
Points
500

Cacs

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2019
320 500
Wakuu heshima zenu bhana!!
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la kwichikwichi yan hua analala tu kwenye bed na kunisubiri mimi nifanye kila ki2 na nikishamfikisha kilelen ndio kamaliza yani hashughuliki tenah na kidume mm?? ni mrembo kwa kiasi chake sema hana ujuzi kabisa,,,, ndugu zangu naomba mnielewe hapa nikisema HANA UJUZI KABISA ni kwamba hamna ki2 wazee,,,

Kiukweli napata tabu sana,, hanipi kile nilichokua natarajia na nikiwaza nimteme Roho inaniambia ucfanye hvyo kabsa!! Cjui nifanye nn ndugu zangu! EMBU NIPENI USHAURI
Muelekeze vile unataka afanye yawezekana hajui.
 
flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
3,839
Points
2,000

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
3,839 2,000
Kiukweli mademu wanaboa, sisi wanaume tukishapiga bao nabado tunapokuwa nahamu huwa tunaanza kuwatomasatomasa ili angalau nawenyewe wahamasike ila wao hata kushikashika dyudyu nakuibinyabinya kimtindo angalau network isome vzr eti mpaka uwashikishe kama vile watoto wadogo. Wanawake mkishajua wajibu wenu sidhani kama dawa zanguvu zakiume zitakuwa nadili tena. Sisi tunazo nguvu sanaa ila mpaka mjue jinsi yakuzivumbua hizo nguvu
 
ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Messages
2,612
Points
2,000

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2017
2,612 2,000
Kama ni kweli hajui basi mfundishe hilo ni jukumu lako wewe mjuvi,.na awe tayari kufundishika maana wengine hawakawii kusema "we naeee humalizii tyuu" ila wote mkijua kurindima woiii hapawi pakavu kutia mchuzi
Kila nikionaga comment yako yeyote ili mapigo ya moyo yanabadilika, sijui kwa nini
 
Forum statistics

Threads 1,381,720
Members 526,179
Posts 33,809,835
Top