Ndugu wa damu anatafutwa na nduguye

Ndugu wa damu anatafutwa na nduguye

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake.Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI MWAKITALU mwenyeji wa Mbeya sehemu inaitwa Ipinda, huyo Benard Samweli Mwakitalu alikuwa na dada yake ambaye ni mwalimu aitwae BENANSIA MWAKITALU ila bahati mbaya baba huyo alifariki mwaka 1999.Sababu zakupotezana baba huyo ambaye ni askari alipata uhamisho hivyo aliondoka na mtoto huyo akiwa na umri wa miaka miwili aliyekuwa analelewa na mama wa kambo. Mama yao na huyu anayemtafuta mdogo wake alikwishafariki hivyo mtoto huyo alichukuliwa akingali mdogo pasipo hata kumfahamu vizuri mama yake mzazi.Hivyo kama kuna mtu anayepafahamu vizuri hapo IPINDA na pia ni mwenyeji wa siku nyingi wa eneo hilo anayeweza kuwa anawafahamu hao kwa majina niliowataja tafadhali naomba awasiliane nami kwa namba hii 0787661261.TAFADHALI UPATAPO UJUMBE HUU NAKUOMBA SHARE KWENYE MAGROUP MENGINE ILI KUWEZA KUMSAIDIA MAMA HUYU KUMPATA MDOGO WAKE.
 
Ingekuwa vizuri ungeenda pale alipoamishiwa bava yao ili ujue utaanzia wp
 
Back
Top Bottom