ACHA TU NIMSHUKURU ALLAH

ACHA TU NIMSHUKURU ALLAH

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
1. Wakati wapo wanawake wapo single...kwa namna tofauti tofauti...Iwe SINGLE MOTHER au SINGLE LADY...ila tu hajapata bahati au neema ya kuolewa...na wengine MASHAA ALLAH wamejihifadhi uchi wao hawataki kujidhalilisha kugawa gawa pasina urasmishaji wa NDOA...na wanatamani LEO KESHO JAPO NAO WAPATE WAOAJI WALIO SERIOUS WAOLEWE...
Wakati huo huo wakijenga picha vichwani mwao...vile watakavyokuwa wanalala kitanda kimoja na waume zao...vile watakavyokuwa wanawahudumia waume zao...vile maufundi wanajituma kitandani na kuwagawia waume zao tunda lao la ndoa...UNAONA KABISA HUYU BIBIE ANATAMANI MUME LEO KESHO...

2. VILE VILE wapo wengine ambao wanachepuka kwenda kwa michepuko kwenda kukidhiwa matamanio ya nafsi zao kwa mabwana wa nje...kutokana na ubize wa waume zao na uchovu wao...unaosababisha kutowatendea haki wake zao...(WANAWAKE HAWA ALLAH AWAONGOZE WAACHE TABIA HII)...

3. LAKINI IPO WANAWAKE WENGINE...ALLAH AWASAMEHE KABISA...HAWA WANA MTIHANI MZITO KABISA...WAMEPATA NEEMA YA NDOA...wamepata waume ambao wapo fit kimwili na kiafya...na wakigegedwa wanakunwa ipasavyo...LAKINI YENYEWE HAIJUI NEEMA HII...OLE WENU...

MGAWANYO HUU WA NEEMA...UNASHANGAZA SANA...KUNDI NAMBA 1 KULE JUU...WENGI WAO WANAENDA KUWA KAMA HAWA WALIOPO KUNDI NAMBA 3 HAPA CHINI...WANAPOJISAHAU JUU YA NEEMA WALIOPEWA NA MOLA WAO...(hawa ndio wa kuwaolea mke mwenza...)

KUNDI NAMBA 1 KULE JUU WANAWEZA KUWA KUNDI NAMBA 2...AMBAPO WANACHOKITARAJIA KIKAWÀ TOFAUTI NA UHALISIA WATAKAOKUTA NDOANI...

ILA WANAWAKE WALIOPO KUNDI NAMBA 3...MSIICHEZEE HIYO NEEMA MLIYOPEWA NA MOLA WENU...MTAJA JUTA MWENYE KUITAMANI HIYO NEEMA AKAIPATA NA AKAITENDEA HAKI...
 
Tukiacha kutarajia mambo mengi kwenye ndoa na tukayapokea yote bas mtaish kwa amani

Ukishajua mwenzangu hajakamilika ukayakubali madhaifu yake ukayaishi nayo pamoja naye bas kuna vitu vidogo vidogo mnaweza kuviepuka

Ukiingia ndoani unatakiwa uwe umeridhia kwa thabiti ya moyo wako ukiwa na hofu ya Mungu ukamueka mbele na ukazidi kumcha yeye bas hata riziki ndogondogo huingia,

Mwisho kuolewa ni majaliwa, kwa ambae hajabahatika kuipata ndoa hata asikate tamaa maadam bado mtu anapumua bas riziki yake i njiani itamfikia tu kwa wakati husika

Na wale waliobahatika kuipata wakawe ni wake wema wenye kuwatii na kuwaheshim waume zao, waume nao wawe ni wenye kuwaheshim wake zao vile vile, na tuache ujinga wa kua et huridhishwi na mke/ mume ukaenda zini nje ya ndoa twapaswa kukaa chini na kuelekezana huyo ndio chaguo lako, tuache kuipa nafasi dunia na tufanye yale tulioamrishwa na tumuogope Mungu popote tulipo.
 
WALLAHI WARABBII...IKIWA HAYA UNAYOYAONGEA YAPO KWENYE MAISHA YAKO HALISI...BASI ALLAH AMEMNEEMESHA MUMEO MKE MWEMA SANA...
 
nisijikweze bure na haitakua na mana nikiongopa

Hivi ndio naishi na mume wangu na Allah ni shahid wa nafsi yangu
ALLAH ANAWAPA WAJA WAKE HUURUL I'YN WAO HAPA HAPA DUNIANI...ALLAH AKULIPE KWA HAYO...
 
Pesa unazo? Usiongeze mke kumbe mmoja kuhudumia kwa mafundomafundo
Hata huyu wakati namuoa sikuwa na pesa...

KILA MTU ANA RIZKI YAKE...NINGEKUWA MIMI NDIYE NAWALISHA...BASI HATA HUYU NILIYE NAE NISINGEWEZA KUMLISHA HATA SIKU MOJA...
 
😂😂😂😂😂😂😂
Hvi bado watu wanawaza kuona tu dunia hii ya leo? Ndoa walifunga mama zetu na baba zetu siku hizi watu wanafanya sherehe tu mtu asitundanganye kwamba nlioyaongea hapa ndo maisha ya ndoa mnaishi hivyo.
 
Duh okay
Hata huyu wakati namuoa sikuwa na pesa...

KILA MTU ANA RIZKI YAKE...NINGEKUWA MIMI NDIYE NAWALISHA...BASI HATA HUYU NILIYE NAE NISINGEWEZA KUMLISHA HATA SIKU MOJA...
 
Back
Top Bottom