Huwa unafanyeje pindi ukiwa na mke wako?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Jamani wanaume tulio kwenye ndoa, ukiwa umetoka out na mkeo ghafla anapita msichana mrembo huwa mnafanyaje ili mkeo asijue kama umemtamani huyo mrembo? maana mi juzi yamenikuta sitosahau maishani maana alipita mwanamke mrembo daaa! maraika si maraika yaani kaumbika mnara ukaanza kusoma 4G pale pale afu nimechomekea suruali!
 
Huwa nnamwambia; Dear wangu, jinsi gani natamani ungelikuwa mrembo ka huyu anayepita. Basi tunasimama, tunamwangalia woote huku yeye akimtoa kasoro na mimi nikimuelezea vipawa alivyo pewa bure.
Nenda uendaka, hakuna mrembo ka mkeo. Ndo maana umemuweka ndani na unamtunza na unamlinda sana. Achana na unayo tamani. Utafikisha ndani ujute kwani mafuriko ya dar yaweza hamia kwako ghafula.
 
maraika=Malaika
Pole sana kwani humpendi mkeo?
 
Jamani wanaume tulio kwenye ndoa, ukiwa umetoka out na mkeo ghafla anapita msichana mrembo huwa mnafanyaje ili mkeo asijue kama umemtamani huyo mrembo? maana mi juzi yamenikuta sitosahau maishani maana alipita mwanamke mrembo daaa! maraika si maraika yaani kaumbika mnara ukaanza kusoma 4G pale pale afu nimechomekea suruali!
Hali hiyo huwakuta wengi katika wanaume WAZINIFU.
 
Jamani wanaume tulio kwenye ndoa, ukiwa umetoka out na mkeo ghafla anapita msichana mrembo huwa mnafanyaje ili mkeo asijue kama umemtamani huyo mrembo? maana mi juzi yamenikuta sitosahau maishani maana alipita mwanamke mrembo daaa! maraika si maraika yaani kaumbika mnara ukaanza kusoma 4G pale pale afu nimechomekea suruali!
If there’s one thing I hate the most, its seeing bad things happen to good people...
 
Jamani wanaume tulio kwenye ndoa, ukiwa umetoka out na mkeo ghafla anapita msichana mrembo huwa mnafanyaje ili mkeo asijue kama umemtamani huyo mrembo? maana mi juzi yamenikuta sitosahau maishani maana alipita mwanamke mrembo daaa! maraika si maraika yaani kaumbika mnara ukaanza kusoma 4G pale pale afu nimechomekea suruali!
huwa nachomoa shati
 
Kukohoa na kumezea hupunguza tamaa.

Vikohozi unavyosikia vikitolewa na wanaume pale mwanamke 'mzuri' anapokatisha mbele yao huwa siyo maradhi ni njia ya kushusha mhemko.

Hilo janga kukutokea halijalishi una mkeo ama nani yako, ukiona linakusonga jikohoze utaona limekuachia.

Utabaki tu na ugwadu kinywani mwako, maana tamaa inapokuvamia huja na hali ya mate kujaa mdomoni.

Sasa hapo ni juu yako kuyatema ama kuyameza.

Lakini gland inayozalisha mate ya matamanio hutoaga mate yenye magadi mengi, ukiyameza kijingajinga bila kuyatafunia jojo waweza kutapika.
Hilo wanaume tunalo, ni letu lazima tulibebe.
 
Mwanzoni mwa mahusiano yetu kuna siku tulikua tumekaa sehemu na wife tunapata kinywaji mara akatokea bidada amefunga zigo la haja halafu kapiga kanguo tight mzigo unatetema balaa. Mimi bila hiyari nikajikuta nimemsindikiza kwa macho maana alitokea mbele yangu kuelekea nyuma. Ile narudisha macho mbele nikakutana na booonge la kofi paaa!! Nikaona nyota kwanza kwa muda. Kuja kuzinduka nakuta wife kashaondoka mezani yuko pembeni analia. Wala sikumsemesha tukaondoka zetu kuelekea home..
Siku hizi ukipita mzigo kama sijauona ananigusa begani na kuniambia "duuh.. cheki kitu kile.."

Unapokohoa mkeo hakushitukii?
 
Huwa nnamwambia; Dear wangu, jinsi gani natamani ungelikuwa mrembo ka huyu anayepita. Basi tunasimama, tunamwangalia woote huku yeye akimtoa kasoro na mimi nikimuelezea vipawa alivyo pewa bure.
Nenda uendaka, hakuna mrembo ka mkeo. Ndo maana umemuweka ndani na unamtunza na unamlinda sana. Achana na unayo tamani. Utafikisha ndani ujute kwani mafuriko ya dar yaweza hamia kwako ghafula.
Great thinker wa jf nA post zao
 
Mwanzoni mwa mahusiano yetu kuna siku tulikua tumekaa sehemu na wife tunapata kinywaji mara akatokea bidada amefunga zigo la haja halafu kapiga kanguo tight mzigo unatetema balaa. Mimi bila hiyari nikajikuta nimemsindikiza kwa macho maana alitokea mbele yangu kuelekea nyuma. Ile narudisha macho mbele nikakutana na booonge la kofi paaa!! Nikaona nyota kwanza kwa muda. Kuja kuzinduka nakuta wife kashaondoka mezani yuko pembeni analia. Wala sikumsemesha tukaondoka zetu kuelekea home..
Siku hizi ukipita mzigo kama sijauona ananigusa begani na kuniambia "duuh.. cheki kitu kile.."
Hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom