Natafuta mwanaume wa kuchart

miaka 30-35 akiwa kwenye fani hii?
E828161F-5DAB-4117-8DFB-D1D2F0A87041.png
C52119A6-B57A-44FE-9845-1F0FE5A577DB.png
 
Ungeweka na aina ya mawazo mkuu.

labda kama unataka
-mawazo ya siasa
-nawazo ya mahusiano
-mawazo ya maisha
-mawazo ya uchumi
-mawazo ya mziki.

mfano mimi kama mimi kuna mawazo sipo vizuri yaani ni kilaza wa kutupwa...Sema ili tujipime.
 
Nishampata
Ungeweka na aina ya mawazo mkuu.

labda kama unataka
-mawazo ya siasa
-nawazo ya mahusiano
-mawazo ya maisha
-mawazo ya uchumi
-mawazo ya mziki.

mfano mimi kama mimi kuna mawazo sipo vizuri yaani ni kilaza wa kutupwa...Sema ili tujipime.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom