Utamjuaje mtoto wa kusingiziwa

Utamjuaje mtoto wa kusingiziwa

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umenifanya nimecheka kwenye jambo serious sasa dogo mwenyewe ndio kwanza kana mwaka nikikachapa katakimbilia nini ?
Subiri afikishe miaka minne, ukimcharaza utapafahamu kwao 100%.
 
Ukitoa Vipimo vya DNA ni kwa jinsi gani unaweza kutambua kwamba mtoto huyu siyo wako umesingiziwa au kwa kiswahili wanasema umepigwa ?

Couze kuna chalii sina imani nae wakuu.


Njia rahisi ya kutambua mtoto wa kusingiziwa, kwanza umtambue mtoto ambaye si wa kusingiziwa, ukiweza hilo basi utamtambua huyo wa kusingiziwa.
 
Angalia kucha za vidole vya mikono na miguu,masikio,pua na mwisho kabisa mwonekano wa kichwa.Chini ya 3/5 umepigwa.
Na vipi kama nikimtazama sana naona kafanana sana na mam yake kwangu nitatambua vipi mkuu?
 
Back
Top Bottom