Ushauri wenu

ibby

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
415
584
Habar za saa izi
Mimi nikijana wa miaka 33 na ninamke, miaka 4 sasa na nina mtoto wa miaka 2 mambo yamebadilika bada ya kudai kwamba naithamanisha familia yangu kuliko yake akawa anacukizwa kuona mimi niki ipa sapoti familia yangu kazuwa visa badae kakata mawasiliano na ndugu zangu toka kwa wazazi hadi....
Tatizo limezidi badaa ya kuona mawasiliano ya mwanamke kwenye simu ila ilikuwa kusalimiana tu na mwaamke huyo anafanya kazi huko warabuni mimi nipo ughaibuni so anadai talaka eti aondoke hataki kuishi namimi tena,,,hanieshimu jeuri ,,;..
Ifahamike pia anafanya kazi wife na mimi sijawahi ku cheat sababu narizika naye na namukhofu Mungu pia !
 
Kama wewe ni muislamu, una uwezo wa kimwili, na uchumi unaruhusu ONGEZA MKE MWINGINE FASTAAA. atajirekebisha
 
Kaa chini ongea nae, na kwann unajali ndugu zako tu kuliko wa mkeo, ukishakua mke na mume inabidi kila kitu kiwe sawa isionekane unabaze upande mmoja.

Kuhusu huyo mwanamke anaekuhis vibaya ongea na mkeo mueleweshe ataelewa tu.
Otherwise labda kama kuna shida nyingine
 
Natamani kufanya hivo boss,ila huku nilipo sio easy na ni mambo mengi hadi ufikie hatua hiyo
Kama wewe ni muislamu, una uwezo wa kimwili, na uchumi unaruhusu ONGEZA MKE MWINGINE FASTAAA. atajirekebisha
 
Familia yangu na ijali kwa sbabu ya hali niliyo acha nyumbani huko soo yeye kwawo wapo vizuri si kama kwetu,, labda ana dhamira zingine ila heshima hamna kbsa...anafanya anavyohisi kufanya wala hajali cocote !!
Kaa chini ongea nae, na kwann unajali ndugu zako tu kuliko wa mkeo, ukishakua mke na mume inabidi kila kitu kiwe sawa isionekane unabaze upande mmoja.

Kuhusu huyo mwanamke anaekuhis vibaya ongea na mkeo mueleweshe ataelewa tu.
Otherwise labda kama kuna shida nyingine
 
Naogopa kuchangia maana najihisi sijaelewa vizuri huu uzi au namakengeza?
 
Mwandiko sasa.... Any way mpe talaka yake, ameshavhoka huyo hakuna kitakachojengeka
 
kuhusu muandiko mnisame mana kiswahili sio lugha yangu asili najaribu tu kuwakilisha duku duku langu hapa ili nipewe ushauri !!
Duh sawa mkuu pole ila mwenza anapoanza vituko nampaka kufikia hatua yakuomba talaka hapo sidhani kama kunaushauri mwingine zaidi yawewe kumpatia talaka ila kama unajiona upo sawa huna hatia. Mtoto akililia wembe mpatie
 
kuhusu muandiko mnisame mana kiswahili sio lugha yangu asili najaribu tu kuwakilisha duku duku langu hapa ili nipewe ushauri !!
Mpe talaka mwanamke kama amekuchoka balaa lake huwa zito
 
Back
Top Bottom