AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Ile umeshakata zako ticket mapema mwenyewe...siku ya safari unaamka na lile giza la chumbani...linakudanganya...bado bado...
Unaenda kuangalia saa inakuambia ni saa 3 asubuhi...unafikicha macho labda iwe ni saa 9 alfajiri...lakini bado unajidanganya labda hujaona vizuri au saa imepoteza majira...unaenda kufungua pazia uone giza la nje linavyokujali...fungua dirisha au pazia hivi...mara paaP JUA LINAKUSALIMIA KWA MIALE YAKE BOMBA KABISA KWA AJILI YA VITAMIN D na K.
Mapigo ya moyo yanaanza kufukuzana ukikataa kuamini unaloliona...unaenda kucheck TICKET imeandikwa..."KUWAHI NI WAJIBU WA ABIRIA...NAULI HAIRUDISHWI KWA KUCHELEWA KWA UZEMBE."
Nini kilikusibu mpaka ukachelewa kuamka...Ulichukua hatua gani baada ya kuchelewa...?