Kwani si umuulize mwenyewe anachotaka?Wakuu kwema?
Nilimtongoza huyu binti akanikataa na kunitamkia maneno ya kuniumiza moyo, mimi nikampotezea, kaanza mwenyewe kunitafuta tena anataka nini kwangu hivi?
Si unasema kwa sasa anajilengesha au?ntapigaje mbunye wkt nlikataliwa asa?
Wee jamaa una roho ngumu kama wanachama wa ccmKuwa mpole halafu akijaa kwenye 18 tafuna bila huruma, then endelea na maisha yako mchunie