Nakwede: Nimeingia Dar es salaam usiku wa kuamkia leo

Karibu Nakwede ila umeongea maana usije kumpa tabu mwenyeji wako bure kila siku usiku makonda anapita majumbani mwetu kukagua wageni ambao wanakuja dar nila kuoga nakutahadharisha jitahidi uoge mapema usije mletea shida mwenyeji wako
 
Mie siko kwa mtu mkuu. Nimefikia hotelini. Niko tu hapa Kariakoo
 
waoooo kalibu sana niambie unapenda kwenda maeneo ya beach au kutoka usiku kwenye night clubs manake huku masaki ndio kwenyewe i wish nikutembeze ule bata sana
 
Ningekukaribisha ila sema leo na appointment na katoto kamoja ka chou kamemaliza UE naenda kukamua
Kanakuja kwako? Mie sitaki kwenda kwa mtu bwana!!! Niko hotelini. Mie huwa siendagi kwa watu ujue
 
Pa kulala njoo kwangu....
WanaJF mlioko Dar es salaam naomba mnitoe upweke.

Mwenye kuwa tayari kutaka kunitoaga upweke, aje PM.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Gharama za kula na kunywa nitajipigapiga mimi mwenyewe.
 
Njoo PM tuyajenge mi nimeshindwa i dont know how this thing work
Sawa ngoja nije sasa hivi
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Sawa ngoja nije sasa hivi
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Njoo tutakoke moto beach japo leo hali ya hewa mawingu mawingu kuhusu usafiri usijali na drive
 
Back
Top Bottom