Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Ukisikia fainali uzeeni ni fainali kweli kweli sio mchezo kama mwenyezi Mungu akikujalia kufika huko!
Ni kipindi ambacho unaweza kukuta mkeo amekukimbia na watoto wote uliojibana kusomesha shule za gharama wamekusahau kabisa wapo wanakesha Instagram kuhonga watoto wazuri!
Mwanaume weka mikakakati kuhakikisha ukifika faina hautegemei msaada wa kiumbe chochote duniani isipokuwa mwenyezi Mungu
N.B,jihadhari kabla ya hatari