sana.
wewe umetembea na wangapi?
ukitaka kula bata wacha kumchunguza,kama utampenda hutajali 50 aliobeba.
NB: mkapime/au mtumie comundo
mbona simple ya nn kuumiza kichwa me nakushauri ww baki na hiko kijitabu ili ikitokea "baby nina mimba yako" ww rejea kumbu kumbu tu.Poleni kwa majukumu naombeni ushauri
Ninae mwanamke, katika pekuapekua ndani nimefumania kijitabu chake ameandika wanaume zake wote aliotembea nao ni zaidi ya hamsini sasa wadau huyu atanifaa kweli?