Wachepukaji mnaloo

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Huko dar mtawekewa device ambayo mta shikwa live mkichepuka jamani hii nzuri walete arusha wanaume za watu wakome kuchepuka nakupeleka matumizi mengine natamani tuone itaendaje hili sakata finaly muoe muache kuchezea watoto wawatu wakitoka kwa walioa wanakuja kwa viwembe wakuwatesa watoto watu na wakuwakimbia pindi wanamimba au wamefubaa hii itakuja soo intake yenu hii leo ije tuone raha wengine wapumue vizuri
Tu.
 
vipi wakienda kuchepukia bagamoyo, moro ??
 
Hiyo device watawekewa wapi?
TCRA ITAFANYA KITU KWA MAANA WALIJISAJILI KWA MFUPO WA VIDOLE SO WAKIWEKA TRACKING CACHER WATAWASHIKA TU.
NI RAHISI SANA SASA HIVI WAMEJISHIKA WENYEWE KWA VIDOLE VYENU.
 
Sijawahi kumpenda wala kutamani Bashite afanikiwe kwenye jambo lake lolote lile ila kwenye hili swala kama yeye ndiyo pioneer basi nitafunga na kuomba ili afanikiwe tu kwa kweli
 
Source ya taarifa? Isije kuwa ni habari za kwenye vijiwe vya kusuka.
The governor of Tanzania's largest city wants to set up a database of married men to crackdown on rampant love rats.

Paul Makonda, the governor of Dar es Salaam, said he wanted a publicly accessible database of men's marital status after receiving a string of complaints by deceived women.

"Many women from Dar es Salaam region have been deceived many times and they have had enough," he said at a press conference on Monday.

"Our main aim is to relieve pain from these women who are suffering from these cheaters - as a governor, I am not happy to lead women who are sad and heartbroken."

"If possible we will set up a database in the regional commissioner's office in each region that every man who promises a woman marriage, this should be registered in the database which will allow women to check to see whether the person asking is married," he added.

He said the government run service would include men's photographs, but he gave no details about the stage of the proposal. It is not clear if such a database would be legal.

Mr Makonda, a close ally of president John Magafuli, has a history of making controversial proposals to enforce sexual morality.

Last year he said he would set up a police task force to round up gay people, saying he would rather risk inevitable criticism from the international community than "anger god".

The Tanzanian government quickly made clear it did not endorse the idea. Same sex relationships are illegal in Tanzania.

Earlier this month a politician in neighbouring Kenya called on women to expose philandering politicians who abandoned their lovers after fathering children with them.

Mike Sonko, the governor of Nairobi, released two phone numbers for jilted women to use to share the "happy moments" of illicit relationships with prominent officials.

“From today all great women of this country, if there is an MP, Senator, Governor, civil servant or businessman who has impregnated you and denied responsibility send me their details we expose him and seek DNA tests when he’s still alive,” Mr Sonko said.

His announcement came after it emerged that Ken Okoth, an MP who died last month, had fathered a secret family.
Sio kwenye vijiwe vya kusuka.
 
Huko dar mtawekewa device ambayo mta shikwa live mkichepuka jamani hii nzuri walete arusha wanaume za watu wakome kuchepuka nakupeleka matumizi mengine natamani tuone itaendaje hili sakata finaly muoe muache kuchezea watoto wawatu wakitoka kwa walioa wanakuja kwa viwembe wakuwatesa watoto watu na wakuwakimbia pindi wanamimba au wamefubaa hii itakuja soo intake yenu hii leo ije tuone raha wengine wapumue vizuri
Tu.

Hivi wajua kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kila mwanamke ukimuuliza anampenzi wake!!

Kila mwanaume akiwa mwaminifu huoni wengine mtaishia kujinyonga kwa stress??
 
Kwani wakijinyonga wewe inakuhusu nini? Mbona hamuwawazii na masikini wasio na mali mnawawazia wanawake wasio na waume tu?
Hivi wajua kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na kila mwanamke ukimuuliza anampenzi wake!!

Kila mwanaume akiwa mwaminifu huoni wengine mtaishia kujinyonga kwa stress??
 
Back
Top Bottom