Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
Wakuu,kuna kitu nmekumbuka hapa baada ya kusoma uzi wa ushimen.
Well,hili nmelishuhudia zaid ya mara ya 4 sasa.hawa mabint skuhiz
Mnaweza kunywaa weee mi bia mwisho wa siku mkitaka kuanza ngumu.yeye lazima atake Hii kitu...na hatak nyingne
Je nauliza,whyyyyy?.
Ni zaid ya wadada wa 3 naona wanapendelea sana hii kitu...
Jana nmetoka mahala na mdada ,tumekunywa sana bia,akawa yuko vzur tayar,..tunarud tumefika mahala anasema anashuka anaenda chkua K-vant
I was like..b..tch...
Kuna nn chin ya kvant,au inawapa genye nn
Uz tayar