Hizi ni sifa ama ulimbukeni au wanawake ndo mnataka kuiharibu jinsia ya kiume

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Ewe mwanaume kuwa na maumbo makubwa ni sifa ama ulimbukeni naomba kujua
Wanawake mnawaharibu watoto wa kiume kama mnapenda madude makubwa naomben mlizike Na vile mungu alivyoumba

Kila sehemu saiv matangazo ya kuongeza tu sijawahi kuona hata la kupunguza kwann msiandamane kulishinikiza hili watu waache hizo tiba
Wanaume hawako comfortable kabisa saiv

#wanaumeblamaumbomakubwainawezekan
 
Wewe ndio yule Emma mpenda birihani ?
 
Sasa wewe badala ya kulia lia kisa uume mdogo up your game.

Maumbile madogo yapo yanaendelea kuwepo, muhimu ni ujue gemu lako unachezaje.

Sasa si uwe na uume mdogo, pumzi huna, khaaa ndugu tutasaidianaje?
 
jamani mnapumzika kwani mashindano yale acha zako @karucee

Back
Top Bottom