Low self esteem inawafanya wanaume wengi ku date wanawake wabaya wa sura

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Wanaume wengi wanao date wanawake wenye sura na muonekano mbaya wanakuwa na low self esteem. Wanakuwa hawajiamini wanahisi kama muda wowote akitokea mtu anayemzidi pesa au power anaweza kuachwa 😂 au wanakuwa wanahisi wanawake wazuri huwa na wanaume wengi kumbe hata sio kweli hii yote ni kukosa kujiamini.

Wakati mwingine wanahisi ha deserve kuwa na mwanamke mzuri cuz sio type yake yeye type yake ni wale wabaya tu😆 Na vile kama akiwa hana pesa ndio anakuwa hawajiamini kabisa anakuwa anaishi kama mwizi ameona police.

Kuna wakati hata wakipendwa kutoka moyoni hawa amini 😂 sasa mtu unaishi vipi na mtu usiyekuamini unaamua umuache kweli akatafute asiyejiamini mwenzake 😂 hapa ndio anaenda kupata mwanamke hata ajulikani ni mwanamke au vipi kabayaaaa kapo kapo tu hakijulikani ukiwauliza wanasema wanawake wabaya wana tabia nzuri 😂😂😂😂 sasa kajitu kenyewe kabaya lazima awe na tabia nzuri kwa sababu hajiamini 😂😂 tena anaona wewe amekupata kwa bahati atakuwa a najiweka chini tu kwa kila kitu ili asikupoteze.

Tena afadhali wanaume wazee huwa wanajiamini sana kuliko vijana sijui kwanini 😇😇
 
Tatizo hao ke wenye mvuto sana smart brains ni wachache mno, watu ambao wako powerful zaidi kichwani huwa hatupendelei wanawake ma bogus.

It has nothing to do with self esteem. Ni maamuzi tu ya mtu. Ikumbukwe mtoto anachukua % kubwa ya akili kwa mama yake. so ukichagua mwanamke Bogus then you know wassup!
 
Inakuaje kwa mfano nao mwanmke wa kawida ila nagonga mamanzi wa kali nje ya ndoa akiwemo shemeji.....?

Uzuri wa mwanamke sio urembo pekee unachokiona kibovu wenzio wanakesho wanalia unae mwona screpa kwa mwenzio mpya kabisa.

Si unajua Halua haina Makombo!
 
Hii kusema wanawake wazuri wanakuwa sio smart kichwani nayo ni kuwa na low confidence. Katika kila group ya watu lazima kutakuwa na mabogus na smart hata hao wabaya pia wako kibao sio smart ila kwa vile mmeweka kichwani wanawake wazuri sio smart inaonekana hivyo ila sio kweli eti wengi wao sio smart. Kuna wanawake wengi katika jamii ni wazuri pia ni wana akili.

Halafu pia kuna hii tabia ya wanaume wakiona wanawake wazuri wamefika sehemu nzuri wanahisi sio akili zao zimewafikisha hapo lazima nyuma kutakuwa na mwanaume amesababisha. Lakini mwanamke mbaya akifika mbali watu wanasema akili zake ndio zimemfikisha aliko 😂 hii nayo inachangia wanawake wazuri kuonekana sio smart. Ni low confidence ya watu tu.
 
Inakuaje kwa mfano nao mwanmke wa kawida ila nagonga mamanzi wa kali nje ya ndoa akiwemo shemeji.....?

Uzuri wa mwanamke sio urembo pekee unachokiona kibovu wenzio wanakesho wanalia unae mwona screpa kwa mwenzio mpya kabisa.

Si unajua Halua haina Makombo!
Hiyo nayo ni low self esteem ndio maana unaoa mwanamke wa kawaida halafu unacheat na wazuri kwa sababu unakuwa nao kwa short time tu ila uwezo wa kukaa naye kama mke huna sababu ya uoga wako. ni low confidence hiyo 😆
 
Back
Top Bottom