[emoji23] huyu itakuwa nafanana naye,, sio tu kurushiana mito hata kurushiana magodoro[emoji14][emoji13][emoji12]Wa huku jf waongo japo lazima waje Pm jiandae kupigwa na kuachwa uongez donda ndugu
katoto cha watu kana mapenzi ya kizungu hahaha eti kurushiana mito chumbaniWa huku jf waongo japo lazima waje Pm jiandae kupigwa na kuachwa uongez donda ndugu
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
[emoji23] huyu itakuwa nafanana naye,, sio tu kurushiana mito hata kurushiana magodoro[emoji14][emoji13][emoji12]
Acha kauzibe.Wa huku jf waongo japo lazima waje Pm jiandae kupigwa na kuachwa uongez donda ndugu
katoto cha watu kana mapenzi ya kizundu hahaha eti kurushiana mito chumbani
Mito hata mimi dadake naweza kumrushia atoe tu location.😁😁Pole sana kwa kukosa wa kukurushia mito.
Wa huku jf waongo japo lazima waje Pm jiandae kupigwa na kuachwa uongez donda ndugu
Acha kauzibe.
Am sure there are good men in here.
Ila ukijitoa ufahamu utapata chokoraa wenzio tuuu.
Atumie tu akili yake na intuition as a woman. Itamuongoza.
Pole sana kwa kukosa wa kukurushia mito.
But unakubali kwamba wapo?Wanaume wazuri huku kwenye 100 unapata mmoja na wengi wao wameoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1736]wengine waoaji bana acha kutoa vitisho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mito hata mimi dadake naweza kumrushia atoe tu location.😁😁
Kuna samsing amemiss. 😍😍😍
But unakubali kwamba wapo?
Sawa atafute hao waoaji mm sijawaona. Kama nadanganya naomba nitunze hii comment.
Kuna kasamsing nakuambiaaaa.Ok ila sidhani kama anataka kurushiwa mito na dadaake, labda atatupa ufafanuzi.
😍😍😍😍