Kuna muda ni lazima ufanye maamuzi magumu,

Carleen

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
8,596
Reaction score
29,518
Hi guys,
Hope mpo poa,

Nimejikuta natamani tu kuongea na wale ndugu zangu ambao wanateseka mno na social life iwe kwa mahusiano ama urafiki.!!

Kuna watu wanaishi maisha magumu mno tena kwa kuchagua wenyewe, Just imagine mtu yupo kwenye uhusiano ambao, Ni yeye kila siku ndo awe wa kwanza kupiga simu yeye awe wa kwanza kutuma msg, asipofanya hivyo it means hakuna kuwasiliana mpaka yeye ajizugishe kufanya hivyo tena huku moyoni anaumia..!

Ama unakuta mtu ameganda kwa urafiki ambao wewe ndo una kazi ya kumjulia khali mwenzio mara zote, yeye hata siku moja hajisumbui kufanya hivyo, Na siku akikutafuta ujue amekwama na ana shida ya pesa huku akijua kabisa hapati msaada kwingine, Kwako wewe hata kama huna ni lazima ujipige pige mpaka umtatulie, Ubaya hawa marafiki wa hivi utamu wao ni ukwame wewe, Hawatokusaidia la jua ama la mvua!! Lakini mwenzangu hujifunzi kila siku shobo hazikuishi kujipendekeza kwa mtu ambaye uko invisible kwake, the only moment una exist ni muda pekee ana shida zake binafsi na wewe ndo kimbilio lake pekee..!!

Na bado mtu unakaa unaumia kwa aina hiyo ya watu, ambao kwako wewe ni wa muhimu lakini wewe kwenye maisha yao wewe ni wa ziada, uzuri wanakuonyesha kabisa ila ndo umeganda hapo husikii la mnadi swala wala sauti za kanisa afe kipa afe beki umegandana hapo huku ukikazana tu kujichoresha.!!

Hebu ifikie pahala mtu ujifunze ku balance shobo, ijue mipaka yako, ijue thamani yako,
Jua wewe ni nani, na kwanini upo ulipo, Jifunze
kujiheshimu mwenyewe sababu ukijiheshimu ni ngumu sana mtu atoke alikotoka aje kukuona huna thamani, Usiruhusu hata siku moja mtu akuchukulie poa, Jitahidi hiyo nafasi asiipate sababu kiuhalisia nafasi za kudhauraulika tunazitengeneza wenyewe.!!

You're very much better than that and you deserve to be treated accordingly..!!

Eid Mubarak..!!
 
mimi huwa napoint marafiki wachache sana, na ao ndo watakua marafiki zangu wakubwa, wengine watakua kama nyongeza yaani sehemu ya maisha/jamii, wale marafiki wachache kama akijitokeza anaezingua basi napiga chini alafu nampandisha cheo mmoja kati ya wale marafiki wa kawaida/nyongeza,, ivyo ivyo na ndugu zangu sio wote ntawasiliana nao mara kwa mara ila kwenye shida na raha sibagui, haswa kwenye shida ata mtu ambae sina urafiki nae sana naweza msaidia kama itakua ndani ya uwezo wangu, suala la mahusiano naombaga tu Mungu anisamamie maana huwa silazi damu kama msichana akizingua, yaan ukinipotezea nami nakupotezea atakama ntaumia lakn ni kwamda mfupi.
 
Huo ndo uanaume sasa, kuna mahala tufike tuache kulia lia ovyo wakati maamuzi tunayo wenyewe.!!
 
Mimi nina falsafa tangu moja ukinitumia message Hata saa saba ya usiku nitakujibu ukipiga simu hivyo hivyo na muda mwingine huwa nakumbuka wanikumbukao lakin ukiuchuna wiki afu ukaja ukanitafuta aisee utakutana na swali wewe nani vile!!?
Mkuu week ndogo sana jamani looqh'..!!
 
Hi guys,
Hope mpo poa,

Nimejikuta natamani tu kuongea na wale ndugu zangu ambao wanateseka mno na social life iwe kwa mahusiano ama urafiki.!!

Kuna watu wanaishi maisha magumu mno tena kwa kuchagua wenyewe, Just imagine mtu yupo kwenye uhusiano ambao, Ni yeye kila siku ndo awe wa kwanza kupiga simu yeye awe wa kwanza kutuma msg, asipofanya hivyo it means hakuna kuwasiliana mpaka yeye ajizugishe kufanya hivyo tena huku moyoni anaumia..!

Ama unakuta mtu ameganda kwa urafiki ambao wewe ndo una kazi ya kumjulia khali mwenzio mara zote, yeye hata siku moja hajisumbui kufanya hivyo, Na siku akikutafuta ujue amekwama na ana shida ya pesa huku akijua kabisa hapati msaada kwingine, Kwako wewe hata kama huna ni lazima ujipige pige mpaka umtatulie, Ubaya hawa marafiki wa hivi utamu wao ni ukwame wewe, Hawatokusaidia la jua ama la mvua!! Lakini mwenzangu hujifunzi kila siku shobo hazikuishi kujipendekeza kwa mtu ambaye uko invisible kwake, the only moment una exist ni muda pekee ana shida zake binafsi na wewe ndo kimbilio lake pekee..!!

Na bado mtu unakaa unaumia kwa aina hiyo ya watu, ambao kwako wewe ni wa muhimu lakini wewe kwenye maisha yao wewe ni wa ziada, uzuri wanakuonyesha kabisa ila ndo umeganda hapo husikii la mnadi swala wala sauti za kanisa afe kipa afe beki umegandana hapo huku ukikazana tu kujichoresha.!!

Hebu ifikie pahala mtu ujifunze ku balance shobo, ijue mipaka yako, ijue thamani yako,
Jua wewe ni nani, na kwanini upo ulipo, Jifunze
kujiheshimu mwenyewe sababu ukijiheshimu ni ngumu sana mtu atoke alikotoka aje kukuona huna thamani, Usiruhusu hata siku moja mtu akuchukulie poa, Jitahidi hiyo nafasi asiipate sababu kiuhalisia nafasi za kudhauraulika tunazitengeneza wenyewe.!!

You're very much better than that and you deserve to be treated accordingly..!!

Eid Mubarak..!!
Apo kwenye kutafuta afu utafutwi inauma sana unakua unajua kabisa hmna upendo ila ndo ivo wengine hatuachi mbaka awepo wa kureplace...kukaa siku nzima bila mawasiliano!!!sad.
 
'Mwanamke anakuwa hatari zaidi pale tu aikiijua thamani yake, Ijue thamani yako hakuna mtu atacheza na hisia zako huku ukijua.!!
 
Hizi mambo za kujipendekeza pendekeza kwa watu ambao hawana muda na mimi nilishaacha muda sana.

Maswala ya kujifanya Yesu nimeshaacha muda sana.

Now i understand my values and i follow them in every step.

Now days my life is more of reciprocality! i treat people in exact dimension the way they treat me!
 
I love it..!!.
Na huu ndo huwa wakati watu sasa wanaanza kuiona thamani yako kumbe jua limeshazama.!!
 
Back
Top Bottom