Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nianze kwa kusema asanteni wazee wetu kwa kutulea na kutukuza kwene misingi mema Ila leo kuna kitu naomba kuwakumbusha au kuwaambia huenda kitasaidia kuwaondoa migogoro na sie watoto wenu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwenye mahusiano huwa kuna changamoto mbalimbali, hakuna mahusiano yasiyokuwa na changamoto. Ila wakati mwingine mtu unaweza ukapitia changamoto mpaka akili ikakukaa sawa. So ni changamoto gani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Nina mtoto ana umri wa miaka 6, wa kiume ni kiboko kwa kukojoa kitandani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza hadi nikaona...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwa wanaume je ulishawahi kuwa na rafiki yako akakuonesha mpenzi wake wa kike (girlfriend wa rafiki yako)halafu baadae ukafanya tamaa kisha ukamzunguka rafiki yako kwa siri kisha ukala penzi? ama...
5 Reactions
130 Replies
11K Views
Nina mwanaume na tumeshaanza familia tuna mtoto mmoja na tulipanga wote wawil tupate mtoto barua ilishapelekwa kwetu wanamfaham ndugu zangu,nami wananifaham shida tunaishi mbalimbali amefika kukir...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
...Kuna hospital moja nilienda kwa kazi maalum ya about miezi 3. Sasa kuna ka nesi ka kimeru kakawa kananiamkia vzr kabisaa, Shikamoo baba!! Ki umri kako around 20-24. Nilikuwa naitikia kwa...
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Hapa nazungumzia mpenzi mwenza awe mwanaume au mwanamke ambaye umepanga kumuoa au kuolewa naye ukiona ana sifa hizi ujue hakufai na utakuja kujuta baadae na unaweza kufanya maamuzi ya kumrekebisha...
4 Reactions
23 Replies
10K Views
Mara nyingi hatuchagui kuwa wazazi wasio na wenza, hii hutokoea katika maisha. Kumbuka single parent nae ni binadamu mwenye feelings, anahitaji kupenda na kupendwa. Mwaka huu 2019 ikiwa ni...
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za Ijumaa wapendwa, Imetokea umepata mwenza anaekupa masharti kuwa mtoto wako asifike nyumbani kwenu utachukua uamuzi gani? Yalimtokea shosti, alipata mimba akiwa form six, kichwani...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Kero ipi mke wako huwa inakuchosha pale akiwa Na mimba Me sijaoa, Jana kuna mpangaji mwenzangu akaagiza ndimu usiku saa 4 Huu unyanyasaji
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Juzi kati nimeamka zangu asubuhi na mapema kutoka zangu nje nikamkuta Demu nyumba ya jirani anafagia uwanja full mauasafi ikanibid nimpe hai japo sikuwa na mazoea nae kabisa. Nikamwambia"mambo'...
7 Reactions
84 Replies
10K Views
1.Unapekua nyumba unakuta hati ya kiwanja cha jina lake ambacho hukijui na hajakushirikisha.. 2.Unapekua nyumba unakuta hati ya nyumba yenye jina la mkeo ambayo huijui na hajawahi kukushirikisha...
11 Reactions
87 Replies
11K Views
Habari za wanaforum hii..nahitaji kupata mwanamke wa kupanga nae maisha.. profile yangu kwa ufupi...Age ni 31yrs' nimejiajiri Mwenyewe. Na nina kibanda changu pia hapa mjin. Sifa za huyu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ni simulizi ya dereva wa boda boda aliyenusurika kifo cha kuteketea na moto kwenye ajali ya Moro Anasumulia kwamba asubuhi ile alipata abiria wa kumpeleka Nane nane... Walipofika eneo la ajali...
16 Reactions
84 Replies
8K Views
Hello, kwa imani mbarikiwe sana! Husika na kichwa tajwa hapo juu, Bila shaka huenda kuna jambo ambalo unahitaji kufahamu kuhusu saikolojia na jinsi inavyoathiri au kusaidia watu! Karibu kwa...
7 Reactions
195 Replies
26K Views
Habari za wikiendi ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada,Nilitoa mada hapa jukwaani kipindi fulani kuhusu nia yangu ya kuzaa na msichana kwa mkataba,katika mada hiyo nilielezea kwa urefu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Psychology says, women are biologically attracted to guys who are taller than them because height is associated with the ability to protect and defend. 2. If two past lovers can remain just...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mkristo nimeajiriwa serikalini elimu yangu ni degree moja Natafuta mke umri kuanzia miaka 17 mwisho 25. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipokua msabato wa muislam...
2 Reactions
83 Replies
6K Views
Hii ndio sababu kubwa inayomfanya le mutuz aendelee kudunda hadi Leo.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…